Ya kazi niliowahi kuiona ni IRISShida Mna kariri, wachina, wakorea Wana kazi za moto mnoo.
👉Hadi zinauza soko la nje kwa kiwango kikubwa
Hii ni mchanganyiko humu 😁😂Mi hizi za wachina siangalii
Za kizungu pitia page za juu nimeweka dada yanguHuhuu Yaan ukitkaa nilale niwekee hao wachina au wakorea
Mi napenda za wazungu na Black wa Hollywood
Sasa mbona Mna sema Wana utoto, akati vipo vyuma vikali Sana.Ya kazi niliowahi kuiona ni IRIS
Anazo igia jackchan na zile za jet li na yule mzee wa ong bak wa thailand iko uwasi na bonge fulani la kichina linaubonda mkono ni hao tu. Wemgine sijaona kabosa muvi ya kunishawishi
Huyu Jamaa haku igiza kwenye shadow & bones?View attachment 2919536
The Artful Dodger 🔥 🔥 🔥
🔥View attachment 2919536
The Artful Dodger 🔥 🔥 🔥
Chingaman huyo sio yeyeHuyu Jamaa haku igiza kwenye shadow & bones?
Sawa Mr Italiano, nime muangalia googleChingaman huyo sio yeye
I'm inView attachment 2919536
The Artful Dodger 🔥 🔥 🔥
Sijawahi kuiona hiyo. Kama ulikuwa mpenzi wa Game of Thrones, alikuwepo humo. Mtoto mdogo hivi yeye na dada yake walikuwa wanazunguka na Bran Stark...Huyu Jamaa haku igiza kwenye shadow & bones?
Nisha mjua, si alikuwa ana weza kuona mambo ndotoni.Sijawahi kuiona hiyo. Kama ulikuwa mpenzi wa Game of Thrones, alikuwepo humo. Mtoto mdogo hivi yeye na dada yake walikuwa wanazunguka na Bran Stark...
Chinga wewe na yule mshkaji wako mmefanya Uzi wetu umefutwa 😁😂🤣 huyo dogo sio yeye umemfananisha na Brandon Stark😂😁🤣Nisha mjua, si alikuwa ana weza kuona mambo ndotoni.
Sio yeye yule ni Brandon StarkNisha mjua, si alikuwa ana weza kuona mambo ndotoni.
We Jamaa ni mbishi, walikuwa wawili, Brandon ye ana mambo yanayo tokea mbele bhana.Chinga wewe na yule mshkaji wako mmefanya Uzi wetu umefutwa 😁😂🤣 huyo dogo sio yeye umemfananisha na Brandon Stark😂😁🤣
Silei takataka mie, sijui ali hisi mi ndo future wake!?Chinga wewe na yule mshkaji wako mmefanya Uzi wetu umefutwa 😁😂🤣
Sio yeye 🤣We Jamaa ni mbishi, walikuwa wawili, Brandon ye ana mambo yanayo tokea mbele bhana.
Dogo si aliuliwa na Yale majamaa kipindi Wana ingia, kwenye ule mti.
Huyu dogo hakufa pale kwenye barafu??, unacho Nisha na kucheka cheka ni kipi??Sio yeye 🤣
Sijabisha Wala Nini chinga ila nimekubishia uyo sio dogo alipokuwa kwenye wheelchairHuyu dogo hakufa pale kwenye barafu??, unacho Nisha na kucheka cheka ni kipi??
View attachment 2919876
Nimesema wapi alikuwa kwenye wheel chair mzee ?!.Sijabisha Wala Nini chinga ila nimekubishia uyo sio dogo alipokuwa kwenye wheelchair