Series (Special thread)

Nipe series au movie nzuriiii nicheki weekend hii

Wayward Pines
Hii kama From flan ila tofauti kidogo, Ukiingia Wayward pines hatoki pia ukijaribu kutoka unauliwa mbele ya wananchi wenzako

Kwanini? Dr jenkis alitabiri kutakuwa na apocalypse solution ni kufanya kama Nuhu yeye akateka watu na alichotabiri kikatokea
Iko season 2


Link

 
Thank you, nishaanza kuipakua
 
Argyille imeshatoka? Naomba link
 

Attachments

  • Screenshot_20240222-212139.png
    937.2 KB · Views: 17
Wadau jana zilifanyika tunzo za SAGA awards ambazo kama zimeweka maandalizi ya tunzo za OScar…
Ukiangalia maoni ya wamerakani ni sawa na yako kwenye movies wahusika ?
 

Attachments

  • IMG_1825.jpeg
    469.9 KB · Views: 16
  • IMG_1826.jpeg
    109.4 KB · Views: 13
  • IMG_1829.jpeg
    232 KB · Views: 13
  • IMG_1828.jpeg
    152.2 KB · Views: 15
  • IMG_1827.jpeg
    262.9 KB · Views: 13
  • IMG_1830.jpeg
    192.7 KB · Views: 12
  • IMG_1831.jpeg
    220.4 KB · Views: 12
  • IMG_1832.jpeg
    245.2 KB · Views: 12
  • IMG_1833.jpeg
    138.2 KB · Views: 13
  • IMG_1834.jpeg
    254.7 KB · Views: 13
  • IMG_1835.jpeg
    133.2 KB · Views: 15

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…