Movies ambazo sterling ni demu huwa siangalii
Tumia seez kule ipoLink ya the americans ambayo nitaweza kudownload episode kwa episode
Kwamba unaona midume inapigwa ngumi za shingo inashindwa kufurukuta 😁😁😁Movies ambazo sterling ni demu huwa siangalii
Anatakiwa kuwa demu wa star awe ana mpeti peti baada ya mission nzito.
Sio yeye ndio awe star, hiyo hakikubaliki na halmashauri ya kichwa changu.
Naona kama naongopewa kirahisi na kitu ambacho kinanitoa kwenye focus ya kuzidi kuitazama filamu.
Ili nishawishike kuwa demu ni sterling atayemsumbua mwanaume inatakiwa huyo demu awe jiniKwamba unaona midume inapigwa ngumi za shingo inashindwa kufurukuta 😁😁😁
Ila kuna madem wanakata mikono balaa tena wanapiga kwenye soft spot. Kuna footage niliiona msimamizi wa restaurant alikutana na mijamaa imeenda kula halafu ikaanza kulete za kuleta dem akatoa mkong'oto kwa njemba kama tatu kwa dakika chache tena na mwamvuli tu na hiyo ni cctv footage.
Mwingine kwenye elevator/lift kuna mijamaa ilikunjwakunjwa humo na dem simple tu. So usiwachukulie poa
We ni kawaida yako kupagawa na covers afu mwisho wa siku ukiangalia lazima ujutime Mb zakoWatu mnasiri. Kumbe kuna kigongo kinaitwa king of killers na hatuambizani?
View attachment 2840838View attachment 2840839
Hii nnauhakika itakuwa yenyewe😁😁We ni kawaida yako kupagawa na covers afu mwisho wa siku ukiangalia lazima ujutime Mb zako
Hujifunzi kwa yule kibopa wa kwenye last resort alikuchanganya na ule ushikaji wake wa Binduki mwisho wa siku ukakuta miyeyusho?
Sawa utatupa feedbackHii nnauhakika itakuwa yenyewe😁😁
Nimeangalia trailer na comments za wajuba nimevutiwa nayo
🤣Napenda sana movie sa mchawi hundle😅😂
Kaka naombeni link ya ku download song of bandits, naona kiss Asian ana zingua leo.
Naunga mkono hoja 🤣Sawa utatupa feedback
So wengine japo hatuna wasiwasi na MB ila hatupendi kupoteza muda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We ni kawaida yako kupagawa na covers afu mwisho wa siku ukiangalia lazima ujutime Mb zako
Hujifunzi kwa yule kibopa wa kwenye last resort alikuchanganya na ule ushikaji wake wa Binduki mwisho wa siku ukakuta miyeyusho?
Ila desember hii sikai kizembe😂
Jack reacherKama ya kwanza uliicheki season 2 ratiba take hii hapaView attachment 2839831
Kabisa ni yenyewe hii kalii sanaJack reacher
huyu muhuni kofi lake ni zaidi ya ngumiKabisa jamaa anawapiga sana watu makofi zipo 3 hizi