Dream Queen,
adriz,
Mvaa Kobazi,
Franky Samuel
👉Huyu Jang hyuk ni kichaa😂😂🤣, kwenye hii shine or go crazy kajua kuni chekesha.
👉AME penda, mpaka ana waona masela Kama Dem wake🤣😂😂.
👉Kuna kile kipande kamkumbatia kamanda wake, nime cheka cheka hovyo 😂🤣, Eti sorry kamanda😃😃
View attachment 2818271