mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,921
najua, nilikua nasema tu si nimeicheki jana... hovyoUnazingua kaka hii sio expendable 4π€£π€£π
Bora ungecheki the creator tunajua, nilikua nasema tu si nimeicheki jana... hovyo
Homeland hapana. Homeland imenishinda Mazee hata kwa kujilazimisha bado sijawahi kuielewaNavyomuelewa mwanangu Scars sizani kama ataipenda maana homeland aliikimbiaga π€£π€£π€£π€£π€£
sinaga tu hela za kuafford bando ila mambo ni mazuri kmmkImetoka leo kipande kimoja
View attachment 2816603
Pole kakasinaga tu hela za kuafford bando ila mambo ni mazuri kmmk
Mtaalamu eeeh. Nimerudi tena mtaalamu. Nilifanikiwa hiyo inaitwa today tv siries then nikadownlod series moja inaitwa The Americans lkn VLC imegoma kufungua mtaalamu. Naomba suluhisho maana nimetumia GB 1.5+.Tumia pc kiongozi itakuwa njia nzuri kwa simu tumia today tv series
Sikiliza sasa kaka hilo limekuja kama rar file download ral file kwenye pc yako halafu exactly mzigo utafanya kazi kama kawaMtaalamu eeeh. Nimerudi tena mtaalamu. Nilifanikiwa hiyo inaitwa today tv siries then nikadownlod series moja inaitwa The Americans lkn VLC imegoma kufungua mtaalamu. Naomba suluhisho maana nimetumia GB 1.5+.
chuma nairudiaga sana hii
Mtaalamu mi natumia simu.Sikiliza sasa kaka hilo limekuja kama rar file download ral file kwenye pc yako halafu exactly mzigo utafanya kazi kama kawa
mkuu ndo hii?View attachment 2809737
Kuna mtu kashawahi kuicheki hii ?? Kama bado itafute
Huwa nashngaa watu wanaisifia homeland episodes zinazokariba kumaliza season ni tukio Moja TU la mtu kujifungia nani Huku wengine wakimcheki kupiti hidden cams. SI ujuha huo?Homeland hapana. Homeland imenishinda Mazee hata kwa kujilazimisha bado sijawahi kuielewa
Seaon 1 walianza vizuri walinivuta nikajaa kama director wa Chuck alivyofanya. Baada ya hapo huko mbeleni ni ufuska mtupu
Umeona sasa kumbe siko peke yanguHuwa nashngaa watu wanaisifia homeland episodes zinazokariba kumaliza season ni tukio Moja TU la mtu kujifungia nani Huku wengine wakimcheki kupiti hidden cams. SI ujuha huo?
Sasa kiongozi download phoenix au download na ral file app kwa simu uzifungulie kwa hiyoMtaalamu mi natumia simu.
Sio kaka ila hii ni spin-off yake ya mwanzo inaitwa justfied hii spinoff yake inaitwa justfied city primevalmkuu ndo hii?View attachment 2816694
Kaka zile ndo tunaita espionage zile kaka yaani full ukachero ila kama umezoea kucheki watu wakipigana kila muda kwenye homeland hakuna kule ni full spy π€£πHuwa nashngaa watu wanaisifia homeland episodes zinazokariba kumaliza season ni tukio Moja TU la mtu kujifungia nani Huku wengine wakimcheki kupiti hidden cams. SI ujuha huo?
duuh nimeshusha tyr ep3 dadekiSio kaka ila hii ni spin-off yake ya mwanzo inaitwa justfied hii spinoff yake inaitwa justfied city primeval
Sio mbaya ziache apo anza kutafuta zile za mwanzo sasa ukimaliza endeleza hiyoduuh nimeshusha tyr ep3 dadeki
Inaitwaje?Watu wanataka kitabu chao walicho kichukua kuzimu je watakipata kazi ipo series kalii sana
View attachment 2816982View attachment 2816987