Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

Nafikiri kwakuwa sikuwahi kupata reputation tu, lakini The Lost si ile ndege inapoteza muelekeo na kuangukia katika kisiwa?

Jack Bawrer hii ni ya Korea ? Inahusu nini zaidi chief....
Kwa nini hukutazama THE LOST? Au series ya Jack Bawrer
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo ukizidi tu me huwa naacha...Series zilizokuwa nzuri baadae uongo ukaanza au macomputer ni hizi

The 100
Blindspot
Into the badland nkaona isiwe kesi
Into the badlands ndo wameharibu zaidi asee nilijikaza tu kucheki mpk mwisho....[emoji75]
 
Naombeni orodha ya series kali za misheni....za ujambazi na umafia wa kutisha.
 
Vipi kuhusu Narcos, nasikia ni nzuri sana na inahusu drug dealers....
Kali zipo kama Game of Thrones, Seal Team na The Brave (japo ni s1 tuu) ila inayofanana na Breaking bad kwamba Drug related story hakuna
 
Kwnni ilikushinda...? Maana mimi ndo naifatilia now niko season 3
Namshauri aweke subtitle zinazoelewekaa...!! Alafu akiweza apate mtu wa kumpa mwanga kisa kizima kikoje
 
Inakwama sioni mvuto kwa kweli
Haha!
Mimi Game of throne nimekuja kuielewa na kuvutiwa nayo nilipoianza season 2, labda utakuwa huna patient tu mkuu....

Hii series kali japo sioni kama inaweza ifikia VIKINGS
 
Namshauri aweke subtitle zinazoelewekaa...!! Alafu akiweza apate mtu wa kumpa mwanga kisa kizima kikoje
Kweli kabisa, hii series bila subtitles asee unaeza toka kapa haha by the way napenda sana character ya Dwarf yule htr[emoji16]
 
Kweli kabisa, hii series bila subtitles asee unaeza toka kapa haha by the way napenda sana character ya Dwarf yule htr[emoji16]
Jamaa ana hekima sana...mwanzoni nilikuwa simpendi ilaa baadae akawa my best xcter...
 
kyke XY sikufanikiwa kuimaliza kabisa sikumbuki niliishia season gani ila list yako nzuri na 90% nimeshafanikiwa ipitia mm binafsi nipo game of throne huku nikiwa namalizia najiandaa kuanza nyingine
 
kyke XY sikufanikiwa kuimaliza kabisa sikumbuki niliishia season gani ila list yako nzuri na 90% nimeshafanikiwa ipitia mm binafsi nipo game of throne huku nikiwa namalizia najiandaa kuanza nyingine
[emoji122] Kyle XY naipa 4/5 asee na ndo series yangu ya kwanza kuicheki ijapokuwa imeisha ovyo....

Hii kyle XY ndo ilikuwa best kuliko zote mpk nilipokuja kuitazama BANSHEE....

Game of throne mimi ndo niko season ya 3 sasa...
 
Back
Top Bottom