UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,240
- 9,654
Yeah Revolution iko vizuri.Binasfi series nyingi nilizotazama hapo juu nilikuwa nasikiliza sifa kutoka kwa watu then ndo nacheck....
Ila hiyo Revolution inaonesha ni nzuri sana, naichek asee
Yeah Revolution iko vizuri.Binasfi series nyingi nilizotazama hapo juu nilikuwa nasikiliza sifa kutoka kwa watu then ndo nacheck....
Ila hiyo Revolution inaonesha ni nzuri sana, naichek asee
Ni kweli imekaa kiteenager na mimi nimeiangalia kwasababu mwanangu kaileta ni yeye alikuwa anaangalia, siku nilivyoishiwa series ya kuangalia nikajilazimisha kuingalia nikanogewa, hapa nataka niitafute season 3Currently nimekua nikipendelea Mission, intelligence na military combat dramas. Naona kama 13 reason why imekaa ki teenage sana. No offense
Mkuu inaonesha wewe si mfatiliaji sana wa serie....
Blindspot walizidisha uongo wa wazi wazi, na mimi imeniboa
Kali zipo kama Game of Thrones, Seal Team na The Brave (japo ni s1 tuu) ila inayofanana na Breaking bad kwamba Drug related story hakuna
Nilizowahi tazama:
1.Kyle XY
2.Banshee
3.Blindspot
4.Prison Break
5.DareDevil
6.Doctor Stranger
7.Vikings
8.Spartacus
9.The Lastship
10.Into the badlands
11.Blacklist Redemption
12.Transporter
13.Dream High
14.Deep State
15.The Brave
16.Arrow on the bows string
17.Herpers Island
18.Clever
19.Ghost town
20.Z nation
21.Preacher
22.Money Heist
Ambazo nafatilia sasa:
1.Game of throne
2.Strike Back
Ambazo sikumaliza kwakuwa ziliniboa:
1.Quantico
2.Mr.Robot
3.Iris
Ni kweli imekaa kiteenager na mimi nimeiangalia kwasababu mwanangu kaileta ni yeye alikuwa anaangalia, siku nilivyoishiwa series ya kuangalia nikajilazimisha kuingalia nikanogewa, hapa nataka niitafute season 3
hutajuta ukiangalia hii seriesBreaking Bad
af kama sioni kama wengi wameiona maana sioni ikitajwa tajwa ila mbishe za mule ni hatariBonge la series kuwa nikiikumbukaga nacheka sana.
Hahaha... ndio kwanza nimeanza last ship ngoja tuone naweza nikamaliza.Mkuu wewe ni Mimi kabisaa...Yani Blindspot kuna kipindi Uhalisia ulipotea Yule manzi mara akumbuke mara apoteze kumbukumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Teen wolf nayo sijui iliishia chaka gani...Last ship hutaimaliza kama mimi[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Wewe nimekuelewa..nitafatilia list yako...maana na Mimi last ship ilinishinda japo inasifiwa..Mi nimeangalia hizi na kuzimaliza
24 hrs
Homeland
nikita
Jack ryan
Teenwolf
Lost Girl
Vikings
The bodyguard
Strike back
American odyssey
The Americans
Siren
Stranger Things
Gossip Girl
Hizi zilinishinda
Last ship
Deep state
Blindspot
Covert affair
The originals
The 100 kuna mshikaji wangu alikuwa ndio alikuwa anaifutilia basi na mie ndio naangalia ila haikunivutia kabisa,pamoja na 13 reasons why nayo nilikuwa nina hamu nayo sana ya kuangalia ila haikunivutia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo ukizidi tu me huwa naacha...Series zilizokuwa nzuri baadae uongo ukaanza au macomputer ni hizi
The 100
Blindspot
Into the badland nkaona isiwe kesi
[emoji3][emoji3]Mkuu yan walipoanza mapichapicha yao nikaona huu ujinga nikaachana nayo [emoji3]
Pretty little liers nimeangalia, nitatafuta hiyo gossip girlKama umeipenda hiyo unaweza check pia Pretty little lies na Gossip Girl. Nazo ni za aina hiyo hiyo
Binafsi ilivoanza nilijua ni kitu ya kawaida, baada ya muda nikagundua kuwa mule kuna vitu vya hatari sanaYah coz ilitoka long time. Sisi huku ndio tulichelewa kuiona. Na inavyoanza kwa kupoa utadhani sio kali. Kumbe mbele ni shida