Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,064
- 3,633
Rewatching prison break now s02e11 titled Bolshoi Booze.
Blindspot niliangalia season 1 hadi 2 vizuri tu ila ya 3 wakaanza kuzingua,wakaanza kuleta umarekani wao kila mission wanafanikiwa wao tu nikaona hakuna uhalisia nikajilazimamisha kumaliza season 3 nikaishia hapo. Teenwolf ipo fresh japokuwa sikuimalizia ila nafikiria kuimalizia sema sikumbia niliishia wapi.Mi nimeangalia hizi na kuzimaliza
24 hrs
Homeland
nikita
Jack ryan
Teenwolf
Lost Girl
Vikings
The bodyguard
Strike back
American odyssey
The Americans
Siren
Stranger Things
Gossip Girl
Hizi zilinishinda
Last ship
Deep state
Blindspot
Covert affair
The originals
Blindspot niliangalia season 1 hadi 2 vizuri tu ila ya 3 wakaanza kuzingua,wakaanza kuleta umarekani wao kila mission wanafanikiwa wao tu nikaona hakuna uhalisia nikajilazimamisha kumaliza season 3 nikaishia hapo. Teenwolf ipo fresh japokuwa sikuimalizia ila nafikiria kuimalizia sema sikumbia niliishia wapi.
The last ship ndiyo nimeanza kuangalia episode one,vp mkuu kwanini imekushinda?
kwenye hizo hapo kuna kali au inayofanana na breaking bad?Mimi nilizoangalia
Prison Break
Vikings
Game of Thrones
Tyrant
Blindspot
The Brave
Seal Team
The Six
The Widow
Deep state
The Colony
The Handmaid’s Tale
The 100
The bodyguard
Orange is the new black
Breaking Bad
New Amsterdam nk
Nilizo anza zikanishinda
24
13 reasons why
If loving you is wrong
Proven Innocent
Binasfi series nyingi nilizotazama hapo juu nilikuwa nasikiliza sifa kutoka kwa watu then ndo nacheck....Baadhi ya series nilizozitazama ila sijaona watu kuzitaja taja.
Hostages.
Revolution.
Black sails.
Beauty & the beast.
Tomorrow people.
naunga mkono hoja,Mr robot ni bonge la series kuwahi kutokeaHapo kwenye Mr robot umeniangusha mkuu.
My favorite, nasikitika haikuendelea. Naangalia Succession sasa hivi imezubaa haina msisimkoThe tyrant inatoa picha kabisa ya siasa haswa mashariki no wonder imebaniwa kuendelea
Game of thrones imenishinda, nimeshaijaribu zaidi ya mara tatuNimeona movies nyingi hapo kwenye list ila nzuri ni Vikings, Spartacus, Last ship, Game of throne pia nadhani napendela zaidi muvi za medieval era, kama kuna suggestions za medieval series recommend hapa kwa list.
Rudia tena 13 reasons why iko poa sana inahitaji ufatiliaji wa tararibuMimi nilizoangalia
Prison Break
Vikings
Game of Thrones
Tyrant
Blindspot
The Brave
Seal Team
The Six
The Widow
Deep state
The Colony
The Handmaid’s Tale
The 100
The bodyguard
Orange is the new black
Breaking Bad
New Amsterdam nk
Nilizo anza zikanishinda
24
13 reasons why
If loving you is wrong
Proven Innocent
Mkuu wewe ni Mimi kabisaa...Yani Blindspot kuna kipindi Uhalisia ulipotea Yule manzi mara akumbuke mara apoteze kumbukumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Teen wolf nayo sijui iliishia chaka gani...Last ship hutaimaliza kama mimi[emoji23][emoji2089][emoji2089]Blindspot niliangalia season 1 hadi 2 vizuri tu ila ya 3 wakaanza kuzingua,wakaanza kuleta umarekani wao kila mission wanafanikiwa wao tu nikaona hakuna uhalisia nikajilazimamisha kumaliza season 3 nikaishia hapo. Teenwolf ipo fresh japokuwa sikuimalizia ila nafikiria kuimalizia sema sikumbia niliishia wapi.
The last ship ndiyo nimeanza kuangalia episode one,vp mkuu kwanini imekushinda?
Blindspot walizidisha uongo wa wazi wazi, na mimi imeniboaAse nawe umecheki nyingi mkuu, ila list ya zilizokushinda deep state, blind spot...!? Nafikiri wewe si mpenzi sana wa mission series....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo ukizidi tu me huwa naacha...Series zilizokuwa nzuri baadae uongo ukaanza au macomputer ni hiziBlindspot walizidisha uongo wa wazi wazi, na mimi imeniboa
kwenye hizo hapo kuna kali au inayofanana na breaking bad?
Rudia tena 13 reasons why iko poa sana inahitaji ufatiliaji wa tararibu
Yeah The last ship japokuwa ndio nimeanza ila iko fresh.Binafsi naelewa pale mtu inapomshinda ndo kama ulivosema wewe, ila The Last Ship binge la series nakushauri endelea kuifatilia....