Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Shamba kubwa
Into the badland imeenda mpaka season ya ngapi?History, Scenes mazingira fulani ya kufikirika, zaidi zaidi action fightings za kibabe..
SCANDAL
QUEEN OF THE SOUTH
Wameishia season two wakati bado story inaita wamenikera kweliRevolution ya muda lkn,,, bt hutojuta kuitzama
naomba nisaidie ulidownlod kupitia web gani naomba nisaidie link mkuu yakupata hii seriesJamai Raja ila ina ep. 700+
naomba nisaidie ulidownlod kupitia web gani naomba nisaidie link mkuu yakupata hii series
Hii series mwanzoni ni nzuri ila mwishoni kama wamezingua ni waongo kinoma wewe familia mwanzo mwisho ni mikasa tuJamai Raja ila ina ep. 700+
Sana aisee. Natamani kuona Theresa akiwa tajiri.Mama kumbe wewe du wa mjini!
Queen of the South!
Series ya Ukweee!