George johnson
Senior Member
- Oct 3, 2017
- 107
- 82
,hiv legacy season 2 tayar??Tafuta
The brave
24 legacy
,hiv legacy season 2 tayar??Tafuta
The brave
24 legacy
,bonge LA season hili aiseee ni tam sana! Mr Locke, Michael alikula msoto hatar, kidume saydi noma, na chalii wa ngada Charlie ni nomaLost...
Hiyo sijaiona ila game of throne nayo ni chafuHivi jaman wanajamvi kuna series ya 18yrs yenye uchafu kama Spartacus ?!!
,Bob umemsahau Mr Locke ,Walter na baba ake Michael hahabaAsante Ngwasa alafu hii kitu nshagaiona ninayo nilisahau kuitaja Mkali Dr Jack na Ben walisumbua sana. Ila nilimpenda sana sana SOYA THE GUY WAS SO SO FUNNY AND A LOT OF NICK NAMES TO OTHERS AHAHAHA. Asante bab
,hii nayo nzr ila upate ambayo haijatafsiriwachuno the Slave hunter
,kwa wanaopenda series za kipelelezi hii ni noma sanaItafute Homeland... mimi ni mvivu wa kuangalia series ila hii niliiangalia mpaka mwisho
BansheeHivi jaman wanajamvi kuna series ya 18yrs yenye uchafu kama Spartacus ?!!
Mkuu iyo noma sana mzee babaNshaianza kudownload