mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Balimi vs serengeti lite=Makinikia Vs Pure GoldNilikuaga ARUSHA maeneo ya sakina (milestone) walikua na promotion ya Serengeti light nikiwa nimetoka zangu triple A jamaa zangu wa hiyo kampuni waliweka kama bia 16 hivi mezani nilipiga bia zaidi ya 6 lakina hamna kitu (too soft) inabidi tuagize na nyagi tuboost then show ikahamia PICNIC
Serengeti lite is too soft with 3.5% alcohol.
Mi naona ni kama napoteza pesa yangu tu nikinywa hiyo bia. # shikamoo balimi