Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Sijui unongea takataka gani sisi tunaongela suala la market unakuja na porojo za mwanza sijui mwanza
 
Unajuwa, kwenye product kuna kitu inaitwa FOUR P
1. Product
2. Price
3. Packaging
4. Place

Jamaa wamecheza na Product pamoja na Price
 
Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you

Cc.balimi,plisner,safari,
Kwa wengine hata hizo ulizozitaja ni kama maji tu. Bila gongo halewi mtu.
 
Kama ilivyo K-Vant na Konyagi..Hapa nilipo naona meza nyingi zina K-Vant, Konyagi imepotezewa sijui kwa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…