life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Namuona mpenzi wangu safari kuleee ,nikinywa vitano nakuwa nimefika kituoni kwanguKaz kweli kwlView attachment 1077914
Hajui safari inavyotoka huyo..kwakua anaona hapa dar wanakunywa hako kadude anafikiri ni tz nzima
Kirukuu ya safari inanyweka kama virobaa
Vijana;Wazee mnajiendekeza bure na mpo addicted wa kunywa pasipo na tija yyte!! Suali moja tu.. Jee mulisha wahi kutunukiwa Tuzo au hata medali na hao wauzaji ULEVI ?? (Hata huduma za afya hampewi)
Balimi safi sana ina ladha ya pombe lkn hivyo vidubwana vyako vina ladha ya juiceBalimi na aina hizo ni kwa wasio na hela. Wengi wapo kikosi cha mizinga [emoji16][emoji16][emoji16]
Moshi mwaka juzi virukuu viliisha vyote kwa siku 3Afu sasa tbl wanakwambia serengeti lite haiwatishi kwenye soko maana bia yao moja ina cover lite zote
Tena iyo kirikuu kuna watu wanabugia muda wote nilifika hapo mwanza inasakwa hatari...
Moshi mwaka juzi virukuu viliisha vyote kwa siku 3
Nikibuwa hako kadude ni sawa na nikinywa juice
Ni kweli ngoja nijifunze kunywa pombe na hiii kituHii beer ni kwa beginners Tu.
Ha ha ha...Wewe usiyekunywa tuzo zako ziko wapi