East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 989
Kaz kweli kwlKapicha chake na sisi tusio walevi tukaone
ππ Asante mkuu nimeonaKaz kweli kwlView attachment 1077914
Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,
Kaz kweli kwlView attachment 1077914
Yaani mpishi wa haka kabia apewe tuzo tu, kama ni limbwata basi sio la bara hili.Hii ni Kwa walevi tu.
Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.
Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa. Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.
Hongera mpishi na mgunguzi wa hako kabia.
Balimi na aina hizo ni kwa wasio na hela. Wengi wapo kikosi cha mizinga πππMi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,
Hajui safari inavyotoka huyo..kwakua anaona hapa dar wanakunywa hako kadude anafikiri ni tz nzimaSidhani sana ...maana kila mtu na upenzi wa bia yake ,inaweza kuta sehemu unazo enda watu waliokuja kunywa bia wana budget ya 20,000 so lazima wakimbilie humo. Nilienda kanda ya ziwa huko ndani ndani,kuna watu hawajui kama kuna bia inaitwa serengeti lite wao ni balimi na safari
..ila kwa Dar es Salaam kajitahidi kuibrand bia yake vizuri ,though tbl wao bia yao wanaona iko kwenye market vizuri tuu