Serengeti Lite inavyoitesa TBL

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Hii ni Kwa walevi tu.

Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.

Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa.

Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.

Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
 
Kapicha chake na sisi tusio walevi tukaone
Kaz kweli kwl
tapatalk_1553801735708.jpeg
 
Hii ni Kwa walevi tu.
Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.
Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa. Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.
Hongera mpishi na mgunguzi wa hako kabia.
Yaani mpishi wa haka kabia apewe tuzo tu, kama ni limbwata basi sio la bara hili.

Ila mimi sinywi hako "kasoda"
 
Sidhani sana ...maana kila mtu na upenzi wa bia yake ,inaweza kuta sehemu unazo enda watu waliokuja kunywa bia wana budget ya 20,000 so lazima wakimbilie humo. Nilienda kanda ya ziwa huko ndani ndani,kuna watu hawajui kama kuna bia inaitwa serengeti lite wao ni balimi na safari
..ila kwa Dar es Salaam kajitahidi kuibrand bia yake vizuri ,though tbl wao bia yao wanaona iko kwenye market vizuri tuu
 
Hajui safari inavyotoka huyo..kwakua anaona hapa dar wanakunywa hako kadude anafikiri ni tz nzima

Kirukuu ya safari inanyweka kama virobaa
 
Similar Discussions

33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom