Serengeti kutamu, ona hii

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
IMG-20180116-WA0024.jpg
 
Attachments

  • VID-20180115-WA0015.mp4
    5.5 MB · Views: 127
  • VID-20180115-WA0014.mp4
    2.8 MB · Views: 131
Njia rahisi zaidi ya kuwatofautisha ni maumbo, Duma mwembaba mrefu ili hali Chui mfupi na ameshiba.

Duma hukakaa sana hadharani wakati jamaa yule ni mzee wa chimbo sana, Wazungu wanatumia neno "shy"...kwa hiyo ukikatiza porini ukamuona jamaa yupo juu ya kichuguu confortable huyo ni Duma.

Chui huishi kipekee pekee, tofauti na Duma huweza kuwakuta wawili, watatu, wanne n.k.
 
Maelezo yameshiba
 
Back
Top Bottom