Serengeti kutamu, ona hii

Serengeti kutamu, ona hii

Maelezo yameshiba
bado kidogo yashibe vizuri

kwa mtu asie jua kuwatofautisha hayo maelezo bado yanamuacha njia panda.
kuna alama muhimu inawatoafautisha ukiangalia picha ya kwanza ya duma ana mistari kwenye macho kama vile analia wakati mwenzake ambaye ndio mzee wa kazi chui hana hiyo mistari
nipo tayari kukosolewa kwa ajili ya kujifunza

msabillah
jembe afrika
 
na mimi kuna mahali pananichanganya
hebu nitofautishieni kwa majina hawa wafuatao
Guepard-leopard-jaguar-tiguer.jpg
 
1 = Cheetah/Duma
2 = Leopard/Chui
3 = Jaguar/Chui
4. = Tiger/Simba marara

Nb: Kinachofanya Tiger afanane na hao wengine ni hiyo rangi/mistari yake tu; lkn huyo ni Simba mazee!
Mkuu kati ya hao wanne yupi ni mdeadly zaidi?
 
Mkuu kati ya hao wanne yupi ni mdeadly zaidi?
anaanza Tiger(mkubwa kushinda paka wote), Leopard, Jaguar na Cheetah ndio wamwisho ni muoga na anakamta wanyama wadogo kama swala,
 
Ningumu sana maana cheetah niwapole sana

Acha Kumdanganya Jamaa Mkuu ukweli ni kwamba hapo alikuwa ameshashiba na hana tena njaa na hao Watu wa Wanyamapori wanalijua hilo na wanawajulia. Usije ukathubutu huyu huyo Mnyama ananjaa halafu anatafuta ' Kitoweo ' chake cha siku kisha ' ukajipendekeza ' Kwake kwa kusema ni mpole kwani anaweza akaondoka na ' Kende ' zako mbili hizo pamoja na ' Koromelo ' lako na kujeruhi ' tako / kalio ' lako la Kushoto au Kulia ndipo utawaelewa vizuri.
 
Back
Top Bottom