jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
- Thread starter
- #61
HahahaaaNyoka na binadam tunauhasama
HahahaaaNyoka na binadam tunauhasama
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daahCheatah a.k.a Duma wanazoea Watu kirahisi sana, tatizo ni Chui bana.
Na ujue kuwatofautisha, maana leo unacheka na Duma, kesho anakuja Chui unaanza tena kukenua ukidhani ni yule wa jana, ata kusuprise.
HaaaaaaaaaaaaaCheatah a.k.a Duma wanazoea Watu kirahisi sana, tatizo ni Chui bana.
Na ujue kuwatofautisha, maana leo unacheka na Duma, kesho anakuja Chui unaanza tena kukenua ukidhani ni yule wa jana, ata kusuprise.
Jamaa Amalia kihindi au kichina😀😀Hii ndio shughuli ya chui ndani ya sekunde tano tuuu
chini ya macho duma ana mchirizi mweusi kuelekea mdomoni na chui hanaukienda porini ukiwaona tu utamjua huyu duma na huyu ni chui, ila chuo hana masihara wala harembi, huyu anaweza akaja kabisa kwenye gari
Kiolojia, swali lako haliwezi kujibika. Hata kijamii pia. Hao wote ni deadly kwenye ikolojia zao na jamii wanazopakana nazo. Ukienda Amerika Kusini, wao hakuna mnyama wa hatari na anayeogopeka zaidi ya jaguar. Labda puma atakaribia. Ukienda Asia (India, Nepal na kote ambako Asian tiger anapatikana), wao hakuna mnyama wa hatari kama tiger. Kule chui wanaweza hata kupambana naye kwa fimbo, lakini siyo tiger.Mkuu kati ya hao wanne yupi ni mdeadly zaidi?
Hiyo nikweli kabisachini ya macho duma ana mchirizi mweusi kuelekea mdomoni na chui hana