Serengeti kutamu, ona hii

Serengeti kutamu, ona hii

Acha Kumdanganya Jamaa Mkuu ukweli ni kwamba hapo alikuwa ameshashiba na hana tena njaa na hao Watu wa Wanyamapori wanalijua hilo na wanawajulia. Usije ukathubutu huyu huyo Mnyama ananjaa halafu anatafuta ' Kitoweo ' chake cha siku kisha ' ukajipendekeza ' Kwake kwa kusema ni mpole kwani anaweza akaondoka na ' Kende ' zako mbili hizo pamoja na ' Koromelo ' lako na kujeruhi ' tako / kalio ' lako la Kushoto au Kulia ndipo utawaelewa vizuri.
Kwa taarifa tu. Hamna mnyama anaeona binadam ni kama chakula kwake
Wengi huona ni kama some dangerous creature
Na ata simba akiuwa binadam ni kuwa kaona ni kama threat katika empire yake
 
Kwa taarifa tu. Hamna mnyama anaeona binadam ni kama chakula kwake
Wengi huona ni kama some dangerous creature
Na ata simba akiuwa binadam ni kuwa kaona ni kama threat katika empire yake
KABISA
 
Njia rahisi zaidi ya kuwatofautisha ni maumbo, Duma mwembaba mrefu ili hali Chui mfupi na ameshiba.

Duma hukakaa sana hadharani wakati jamaa yule ni mzee wa chimbo sana, Wazungu wanatumia neno "shy"...kwa hiyo ukikatiza porini ukamuona jamaa yupo juu ya kichuguu confortable huyo ni Duma.

Chui huishi kipekee pekee, tofauti na Duma huweza kuwakuta wawili, watatu, wanne n.k.
Tofauti nyengine ni, ukimwangalia duma usoni maeneo ya macho ana michirizi kama ya machozi lakini mzee chui hana hiyo.
 
1 = Cheetah/Duma
2 = Leopard/Chui
3 = Jaguar/Chui
4. = Tiger/Simba marara

Nb: Kinachofanya Tiger afanane na hao wengine ni hiyo rangi/mistari yake tu; lkn huyo ni Simba mazee!
Hapana bosi Tiger na Simba ni vitu viwili tofauti. Kinachowafananisha ni kuwa wapo katika familia moja (Big cats family) inayowaweka pia Leopard, Cheetah,Jaguar, Cougar n.k.)
 
Serengeti tuu inatosha kutoa umasikini wa kila mtanzania kuna uumbaji wa mungu wa kipekee
 
Hebu ndugu zangu mwenye picha atofautishe kati ya hawa wanyama yaani mimi hata huwa sijui chui ni nani na Duma ni yupi.
Cheetah, au Duma, slender na ana "machozi".
th.jpg
th-1.jpg

Chui, leopard, tazama shingo na kifua vilivyojaa.
African+Big+Cat+Trio-leopard+copyright.jpg
african-leopard.jpg
 
Back
Top Bottom