Serengeti fiesta 2014 special thread

mi nimeingia Leaders alipoanza kuperform Blue hii ni list ya waliofanya vibaya mnaweza kuongeza 1. Ney wa mitego,2. Linah 3. mnaweza kuongezea ila Mdogo young killer hakuniangusha.
 

Diamond kauli yakusema atamsaidia Kiba haikuwa yakiungwana
 
nimeamin kuwa clouds inataka kumshusha diamond. haiwezekani kuweka mic kwenye kundi linalomuunga mkono kiba ili sauti zisikike kwa nguvu. kwanini nasema hvyo ? you can see baada ya kupanda linah wakaona watu bado wanazomea na wakaamua kuzma hizo mics ili isionekane kuwa linah anazomewa. this is realy despicable !
 
Tusiopenda vurugu tushaanza kujisogeza pembeni tayari kwa kusepa manake kuna dalili zote za kuzuka vurugu hapa... jinsi ninavyowasikia watu hapa... ni kama wamejiandaa kufanya fujo akiingia Diamond... kama hujazuka mtiti kati ya haters wa Diamond na mashabiki wake, basi sio mimi!
 

mshaanza kutapa tapa sasa...
 

Sogea pembeni utupe ripoti ndomo atakavyogaragazwa
 

Ndo mambo yanavoenda clouds wako kifursa zaid ndo zao wanaangalia upepo unavoenda mashabiki wanataka nini ndo business hiyo
 
mpaka sasa KIBA amashagwe nyingi. nafikili na yeye wange mpanga mwishoni mwishoni ili kupunguza hizi kelele. watu kama hawaja ridhika jamaa kushuka kwenye stage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…