Serengeti fiesta 2014 special thread

Booo nazisikia kwa mbali yote kutokana na kauli yake ya nitamsaidia kolabo mimi ni international
 
Linah na Recho wanaweka usistaduu kucheza hawachezi.... Vanessa anawafunika vibaya sana
 

Hahaha lets wait i think wanaoweza kuichange hyo list ni weus,
 
Boo zmekata baada ya kumuona Linnah ndo mjue wahun wa kkoo washavutishwa shadaaa ili wamzomeeee dangoteer
 
Lina ana sura ya kizeee ivi ana umri gani.....au ndio second sitti
 
Huyu binti mfupiiiiiiiii
Viatu virefu vinawasaidiaaa
 
Hao akina mama sio wale mama ntilie wa feri kweli???
 
Kiba mshenzi kakodi wajinga wenzie a kkoo kumzomea diamond bt am sure domo atawaziba midomo tuu hata wamrushie makopo,domo atamzid hata TI shangweeeee

kiba aliwai kutukodi tukamzomee diamond maisha club alitupa buku 30 na bia tano kila kichwa
 
Linah mbona gogo hiviiiiiii.....kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi...
Ana-bore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…