Serengeti fiesta 2014 special thread


Noma sana Kiba.
Ova
 
msomali pure ila kazaliwa tabora
ndgu zake wanaishi UK baadhi kwa hapa dar magomeni

Kiba bwana .....never understimate your enemy.....atakachofanya na Dai + Wema anaweza kunywa sumu kesho
 
Kiba kamuiga Diamond kupanda na Dancers wa kike ....
 
Ally na chibu wafanye show diamond jubilee,kiingilio kiwe laki ,am sure watu watajaa! Sana watu wengi sana nyuma yao wawatumie kunenepesha akaunti zao
 
Kiba kashangiliwa kinoma ila dangote akija uta amini utakachokiona watu watachanganyikiwa hapo

Maisha bila unafki hayaendi.....Dai atashangiliwa hadi na hao Team kiba
 
Jamani kiba hajaimba mwana auuuiu?????????
 
Kwa show hii ya kiba bas n dhahiri shair kuwa Domo n mkal zaid,subirn muone shangwe lake jaman,hzo shangwe za kiba n za kukodiiii
 
Mmenitesa kusoma hii thread hatimae nimefika mwisho dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…