Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

Mwanaume mzuri huyu kiufupi serena amepata mume mwema atulie..nilisikia mahal wanasema bibie alikua anapondwa na mablack wanaume kua et kakomaa sana ndo maana akaamua ajibebe mzungu wake!ndoa ni kitu chema kila lakheri Bibie.
ilaamekomaa kinoma:D:D
 
Serena Williams amefunga ndoa na mwanzilishi mwenza wa Reddit Alexis Ohanian katika harusi kubwa iliojaa mbwembwe za aina yake ya mwaka huu.
Nyota akiwemo Beyonce, Kim Kardashian na Eva Longoria walikuwa katika harusi hiyo iliofanyika katika eneo la New Orleans siku ya Alhamisi.
Sherehe hiyo ilikuwa na wageni 200 katika orodha ya wageni kulingana na vyombo vya habari.
Eneo moja kubwa la mji lilifungwa kwa sherehe hiyo ambayo ilifanyika katika kituo cha Contemporary Arts Center.
Wageni wengine ni pamoja na nyota Caroline Wozniack, Kelly Rolland ,Ciara, La La Anthony na muhariri wa jarida la Vogue Anna Wintour kulingana na gazeti la daily mail.
Limeripoti kwamba harusi hiyo iligharimu dola milioni 1 huku wageni wakiagizwa kutoingia na simu zao kutokana na mkataba na jarida la Vogue.
View attachment 632724

Serena alijifungua mtoto wao wa kwanza wa kike Alexis Olympia, miezi miwli iliopita.
natamani na mimi demu wa kizungu kwa kweli mbele huko raha sana mfano usa ukitaka chinese unapata ukitaka japanese coz ni mchanganyiko mzuri wa watu wa marekan mbaka familia zimechanganyikana raha kishenzi sio rangi mojaa kijiji kizima
 
mambo namna gani tena

c02c9fdba2557e462286a500b9ff6f2d.jpg
mkiambiwa msizae mbaka harusi mnaona mnabaniwa haya ona huyu mtindi huooo
 
Mwanaume mzuri huyu kiufupi serena amepata mume mwema atulie..nilisikia mahal wanasema bibie alikua anapondwa na mablack wanaume kua et kakomaa sana ndo maana akaamua ajibebe mzungu wake!ndoa ni kitu chema kila lakheri Bibie.
hiyo wewe tu mablack wanagombana kila leo nyumbani kwake ukusikia hiyo sema huyu zungu ni jamaa yake kitambo wanagombana na wanapatana
 
Ana nyonyo kubwa hatari, ila ndo hivyo manyonyo ni maua hata ukiwa nayo madogo shukuru wasipiyaona wanaume Mungu anayaona kwa utukufu wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom