Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

Bingwa huyo wa zamani duniani hajacheza tangu alisema Australian Open mwezi Januari.
Mkurugenzi wa Australian Open, Craig Tilley amesema kuwa Williama anatarajiwa kutetea taji lake katika mechi ya mwaka 2018 ambayo itaanza Januari 15.
 
...tuache jealous ....wote wako vyema ...hawajoana eti fulani kafuata mchele kwa mwenzie...so let us just pray for them...mambo ya mtindi..miguu ....hizo mara nyingi ni fikra za kimatamanio...check profiles zao vyema utaona ...mzungu mwenyewe kaona kabisa kapata legit black woman ...ww unabaki kukosoa viungo vyake ...aibu yetu Mungu atusamehe bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom