Serekali tunaomba ulinzi Mwanza, matukio ya ujambazi yamezidi

ahmedeen

Member
Nov 7, 2016
17
5
Ndani ya wiki moja na siku kazaa matokeo ya ujambazi yana fika matano au manne kama sikosei je walinda usalama hawapo ktk jiji la mwanza
e346d314e34cc76e6be472b9cf4714e7.jpg
67d076e01168bfc8f3f9c06da572d247.jpg
362572903ed2e95637785ca955b849b0.jpg
 
Polisi wana zuia maandamano tuu kuhusu ujambazi wanajiweka pembeni na wengine yawezekana wanahusika kabisaaa..... Maisha magumu kina kaka jambazi nao hawako nyuma polisi saidieni hii issue shughulikieni kama mnavowashughulia kina Godbless Lema hapo mtaonekana mko vzr
 
Lask week kafa mama wa kihindi kapigwa risasi ktk duka la M-pesa juzi mchina kapigwa risasi na mdogo wake kapigwa mapanga leo hii tukio limetokea mchana hapo maeneo ya mwanza hotel muhindi na mbongo mwenzetu wamejeruhiwa na risasi nchi inakwenda wapi
 
Polisi wana zuia maandamano tuu kuhusu ujambazi wanajiweka pembeni na wengine yawezekana wanahusika kabisaaa..... Maisha magumu kina kaka jambazi nao hawako nyuma polisi saidieni hii issue shughulikieni kama mnavowashughulia kina Godbless Lema hapo mtaonekana mko vzr
Hahaaa...usinikumbushe operesheni UKUTA ulivyotokota kila kona afande na guruneti.
 
Askari wetu wapo mbele mambo mengne kama kuzuia miktano ya hadhara ya UKAWA lakn sio kupambana na wanaume waliopo kazn, hata ukiwapgia Simu muda wenyewe wa tukio hawaji mpaka majambazi waondoke!
 
Kwenye t
Na police central ni mita 300 toka eneo la tukio na wamefika baada ya nusu saa yaani ni shida tupu


Kwenye tukio la Jana hazijafika mita 300 ni pungufu zaidi kutoka eneo la tukio nililikuta bado la moto na karibu sana na mabenki matatu yaani CRDB, NMB, KCB na sehemu kibao zenye askari wa silaha ukijumlisha na ofisi za firstjet. SIJUI NA SIELEWI NINI KINAENDELEA HAPA MJINI kuna mambo hayako sawa ki usalama.
 
Niliwahi sema kuna mmama ( staff ofisi ya RPC ni kero, hakuna anachokifanya zaidi ya kukomoa watu,ofisi imegawanyika,watu hawana hamu na kazi tena zaidi ya bora liende......!!!! Poleni wahanga
 
Ndani ya wiki moja na siku kazaa matokeo ya ujambazi yana fika matano au manne kama sikosei je walinda usalama hawapo ktk jiji la mwanza
e346d314e34cc76e6be472b9cf4714e7.jpg
67d076e01168bfc8f3f9c06da572d247.jpg
362572903ed2e95637785ca955b849b0.jpg
fanya kazi acha uchochezi huu sio wakati wake.Halafu tunamalizia na kibwagizo cha HAPA KAZI TU!!Polen
 
kumbe hao majambazi mnaowasifiaga mitandaoni kwa kuwaua askari na kuwapora silaha.... hawana msaada kwenu...???...wapigieni waje kutoa msaada.....
 
kweli mwanza kwa sasa usalama umekuwa mdogo,ni jana tu usiku saa mbili kasoro kumetokea uvamizi wa majambazi wakiwa na silaha na kufyatua rasasi zaidi ya nane hewani na kupora pesa na vinywaji vikali kwenye duka moja linalotoa huduma pia ya mpesa maeneo ya kiloleli kontena mwanza,ni hatari njinsi ilivyokuwa kwa maana ya kukimbiza na ilikuwa ni siku ya mnada kwa eneo hilo,yaani dk mbili nyingi kulikuwa kimya kama usiku wa manane
 
Poleni sana.

Askari hii ni kama tabia yao naweza sema Tz nzima, juzi Tabora majambazi walitamba mtaa kwa mtaa mpaka raia wakaamua kuwakimbiza majambazi wenyewe.
Hata huku Dar tukio linatokea lakini kuripoti kwao kunakua kwa kusua sua sana, bahati mbaya watu tuliopo Dar tukionesha udhaifu wa askari hua tunajibiwa kua sisi ni walaini huko mikoani majambazi hawakatizi.
 
tumejipangaaaaaaa mwaka huuu wataisomaaaaa.. Subiri operesheni kata funua utaona polisi wanavyojifua na mazoezi ila hilo la majambazi huwaoni kabisa
 
Back
Top Bottom