Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,504
- 9,946
Hayaee kila la kheri fuata hizo hela tuone kama zitapandisha midadiNa wana pesa 😍
Utakoma🤣
Hahahaha🤣Nimesema misuli, elewa neno msuli...
Shauri yako😆Hayaee kila la kheri fuata hizo hela tuone kama zitapandisha midadi
Hapa Mwenge DSMIko wapi
Kutoka out na asiyepiga vyombo halafu yeye ndo mlipa bill hata hainogi
Online learning hamtoiHapa Mwenge DSM
Kijana pesa inakuwashaNatumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya.
1.Tukale nyama choma
2.Tunywe(japo mi situmii)
3.Tusikilize mziki(zilipendwa) like oriva ngoma na Samba mapangala
4.Tucheze
5.Tuwaescort waliolewa
Seran na kampani yako mnakaribishwa
N.B Nina pesa hapa haina kazi ukizingatia mi bado young killer
Kwa pesa gani?Kijana pesa inakuwasha
Bagoyangi wa Bujora siyoMimi nalala na nyoka!
Enhee!Bagoyangi wa Bujora siyo