ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,677
- 127,452
Au kila zama na kitabu chake mkuu😅 siku hizi tunasoma soft copy so hakuna haja ya vitabu!Kila zama na zama zake
Au kila zama na kitabu chake mkuu😅 siku hizi tunasoma soft copy so hakuna haja ya vitabu!Kila zama na zama zake
Hahahaha😂Nakumbuka siku ile nilikimbia uzi sijui ulikuwa unaelezea mambo ya laana ukatuma vigagula kama vyote aisee mbona nilikimbia
Baadae uje utusumbue namna ya kusoma organic chemistry tutakukimbiza na maweNatumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya.
1.Tukale nyama choma
2.Tunywe(japo mi situmii)
3.Tusikilize mziki(zilipendwa) like oriva ngoma na Samba mapangala
4.Tucheze
5.Tuwaescort waliolewa
Seran na kampani yako mnakaribishwa
N.B Nina pesa hapa haina kazi ukizingatia mi bado young killer
Ela ndogo sana hiyo, kiingilio tu 180,000 bado hatujaagiza VSOP! Hebu tunza hicho kipesa kitakusaidiaga kwenye mambo mengine!Nina 300000 cash walai we unapiga Jack Daniel ngapi
Unazidiwa na mwanafunzi? Be serious mzee..Hawa jamaa wanatuharibia sana, huyu binti sasa hashikiki tena, hatumpati tena sisi wazee wa hovyo 😅
Mimi huwa naboeka sana naweza kukuhama🙌🏾Kutoka out na asiyepiga vyombo halafu yeye ndo mlipa bill hata hainogi🤗🤗🤗🤗
Acha iwe hivyo ili niweke na picha za kumbukumbuSasa dent unataka kujilipua kustarehesha kwa hela za kuotea?
Hapana kaka usiwe bias kihivyoBaadae uje utusumbue namna ya kusoma organic chemistry tutakukimbiza na mawe
mambo niyapendayo😍😍Imeisha iyo.. Tena na bei nitakufanyia ile ya discount halafu ya promotion😂💪🏿🔥
Nimesema misuli, elewa neno msuli...Kwani mshana ndio kanianzishia uzi?
Kwakweli sielewi babuNimesema misuli, elewa neno msuli...
Hivi kumbe kuna wababu humu 😃 😀Kwakweli sielewi babu
Nyota Yako Kali nipe number ya mganga wako Kuna binti wa kichaga ananisumbua bhnNa una shingapi kwanza? Leo serena kuna old school Unaweza ukanifaa leo!
Notes nzuri bila mwalimu mzuri ni mzigo.Ushapata notes nzur za advanced chemistry?
Na wana pesa 😍Hivi kumbe kuna wababu humu 😃 😀
Iko wapiNotes nzuri bila mwalimu mzuri ni mzigo.
Aje Mzumbe Education Centre tumpige mapindi ya kufa mutu.
😂😂😂Na wana pesa 😍
Utakoma🤣