Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,763
- 86,447
Mimi ntajuaje? Acha kupost uzi patulie kwanza acha wakapigane miti kwingine huko unajichafua bure!Kwanini wanatukanana kwenye uzi wangu
Mimi ntajuaje? Acha kupost uzi patulie kwanza acha wakapigane miti kwingine huko unajichafua bure!Kwanini wanatukanana kwenye uzi wangu
Haaaaaaaaaah wakapigane mitiMimi ntajuaje? Acha kupost uzi patulie kwanza acha wakapigane miti kwingine huko unajichafua bure!
Kuna uzi umeandikwa soon unafutwa kwa sababu hautopumua kama wako tu na sjui kwann wanaoenda kunitag dahhHaaaaaaaaaah wakapigane miti
Ebu nitag nikauone kipenzi changuKuna uzi umeandikwa soon unafutwa kwa sababu hautopumua kama wako tu na sjui kwann wanaoenda kunitag dahh
celebrates (not right based on grammar, it's a verb)Natumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya.
1.Tukale nyama choma
2.Tunywe(japo mi situmii)
3.Tusikilize mziki(zilipendwa) like oriva ngoma na Samba mapangala
4.Tucheze
5.Tuwaescort waliolewa
Seran na kampani yako mnakaribishwa
N.B Nina pesa hapa haina kazi ukizingatia mi bado young killer