Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

KWANZA UELIMISHWE KUWA HUYU SIE WAZIRI MKUU WA ISRAEL. NI WAZIRI MKUU WA ISRAELIS KWAVILE YEYE SIE MUISRAEL NI MUISRAELIS.

PILI WADHIFA WA WAWAZIRI MKUU UNA HADHI YA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA NIMEKUEKEZA.

KUMBUKA HAWA WATU PALE SIO KWAO. WALE NI WAKHAIZARIA KUTOKA ROMANIA NA GEORGIA. PALE WAMEBANDIKWA NA WAINGEREZA NA WAMAREKANI.

HIZO FIKRA ZENU DHAIFU PELEKENI KWA WATU DHAIFU WENZENU.
Unahitaji kuanza darasa la awali. Ndiyo uliyolishwa na wenzio pamoja na li-umri lako? [emoji2]
 
Tuna gesi, mafuta na rasilimia nyingi sana lazima wazungu watufuate. Kama hawaji basi wakae huko kwao na sisi tukae kwetu.
Kuna kitu watu lazima tufahamu,ukizungumzia gesi au madini yaliyopo tanzania ni sawa kumsubiri Masihi au yesu kristo kwamba atarudi Duniani,tatizo letu watanzania hatuna fikira huru,wasomi na wasio soma hatujielewi kabisa tumekuwa kundi moja.Hivi leo hii ukisimama nakujipiga kifuani ukisema Tanzania ina madini madini hayo yako wapi? tangia Babu zetu na sisi vizazi hivi madini yametusaidia nini na yana maana gani katika kizazi hiki na kijacho? wewe uliyepo Arusha,Tanga,Mbeya,Shinyanga ,Geita na Mwanza au popote pale ulipo Tanzania hii madini haya unayoyatamka kila siku yamekusaidia nini katika maisha yako ya kila siku? Watanzania tumerogwa au tunaumwa ugonjwa wa kutojitambua maana tunapenda sana kuzungumzia vitu ambavyo havitusaidii hatutafakari na kuchunguza mambo tukila na kushiba baada ya hapo tunaisubiri kesho na tunandoto kubwa na rasilimali zilizopo hapa kwetu,dhahabu tunayoizungumzia au madini kwa ujumla siyo vyetu ijapokuwa vipo katika nchi tuliyozaliwa ni vya wakubwa wa Dunia,mungu aliviweka hivi vitu ili kila mwanadamu katika Tanzania hii avifaidi, wakubwa wa dunia hii wametunyanganya tumebakia kuzungumza tu,Hatuna vitu ambavyo tunaweza kujivunia kwamba madini tuliyonayo yametusaidia tumepiga hatua, wakubwa wa dunia na kiongozi wao mkuu wanatumiliki sisi na hivyo tulivyonavyo kama madini ni vyao na sisi ni mali yao please tujitatambue na tuyafanye tuliyo na mamlaka nayo.
 
Unahitaji kuanza darasa la awali. Ndiyo uliyolishwa na wenzio pamoja na li-umri lako? [emoji2]

WAKATI NASOMA NILIKUWA MWALIMU WA WANAFUNZI DARASANI. MADARASA 3 SHUKE YA MSINGI SIJASOMA MAANA HAPAKUWA NA KITU CHA KUSOMA. NADHANI YATOSHA KUNIJUA NI MTU MWENYE AKILI ZA KIWANGO GANI.

NA BADO NAKUWA MWAKIMU KWA WAKE WA KUDESA NA VILAZA KAMA WEWE. USIEEELEWA HISTORIA ZA KWELI ZA DUNIA HII.

PERIOD!!!! HATUHITAJI WAISRAELIS. MAANA WAKAANAANI WENYE ARDHI WALISHAKIMBIA PALE. NA UTABIRI NI KUWA WAMEANZA KUJIKUSABYA TARATIBU KWENDA KUCHUKUA NCHI YAO.
 
WAKATI NASOMA NILIKUWA MWALIMU WA WANAFUNZI DARASANI. MADARASA 3 SHUKE YA MSINGI SIJASOMA MAANA HAPAKUWA NA KITU CHA KUSOMA. NADHANI YATOSHA KUNIJUA NI MTU MWENYE AKILI ZA KIWANGO GANI.

NA BADO NAKUWA MWAKIMU KWA WAKE WA KUDESA NA ****** KAMA WEWE. USIEEELEWA HISTORIA ZA KWELI ZA DUNIA HII.

Acha zako mkuu! Mbwembwe nyiingi. Hebu rudia kusoma ulichoandika kwa mikono yako! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]
 
WAKATI NASOMA NILIKUWA MWALIMU WA WANAFUNZI DARASANI. MADARASA 3 SHUKE YA MSINGI SIJASOMA MAANA HAPAKUWA NA KITU CHA KUSOMA. NADHANI YATOSHA KUNIJUA NI MTU MWENYE AKILI ZA KIWANGO GANI.

NA BADO NAKUWA MWAKIMU KWA WAKE WA KUDESA NA ****** KAMA WEWE. USIEEELEWA HISTORIA ZA KWELI ZA DUNIA HII.

PERIOD!!!! HATUHITAJI WAISRAELIS. MAANA WAKAANAANI WENYE ARDHI WALISHAKIMBIA PALE. NA UTABIRI NI KUWA WAMEANZA KUJIKUSABYA TARATIBU KWENDA KUCHUKUA NCHI YAO.
Acha zako mkuu! Mbwembwe nyiingi. Hebu rudia kusoma ulichoandika kwa mikono yako!Kuwa na akili haihitaji kupanda juu ya bati na kuutangazia umma. Ni matendo tu hukutanabaisha kama ambavyo unahamaki kwa Kung'ang'aniza hoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]
 
Kuna kitu watu lazima tufahamu,ukizungumzia gesi au madini yaliyopo tanzania ni sawa kumsubiri Masihi au yesu kristo kwamba atarudi Duniani,tatizo letu watanzania hatuna fikira huru,wasomi na wasio soma hatujielewi kabisa tumekuwa kundi moja.Hivi leo hii ukisimama nakujipiga kifuani ukisema Tanzania ina madini madini hayo yako wapi? tangia Babu zetu na sisi vizazi hivi madini yametusaidia nini na yana maana gani katika kizazi hiki na kijacho? wewe uliyepo Arusha,Tanga,Mbeya,Shinyanga ,Geita na Mwanza au popote pale ulipo Tanzania hii madini haya unayoyatamka kila siku yamekusaidia nini katika maisha yako ya kila siku? Watanzania tumerogwa au tunaumwa ugonjwa wa kutojitambua maana tunapenda sana kuzungumzia vitu ambavyo havitusaidii hatutafakari na kuchunguza mambo tukila na kushiba baada ya hapo tunaisubiri kesho na tunandoto kubwa na rasilimali zilizopo hapa kwetu,dhahabu tunayoizungumzia au madini kwa ujumla siyo vyetu ijapokuwa vipo katika nchi tuliyozaliwa ni vya wakubwa wa Dunia,mungu aliviweka hivi vitu ili kila mwanadamu katika Tanzania hii avifaidi, wakubwa wa dunia hii wametunyanganya tumebakia kuzungumza tu,Hatuna vitu ambavyo tunaweza kujivunia kwamba madini tuliyonayo yametusaidia tumepiga hatua, wakubwa wa dunia na kiongozi wao mkuu wanatumiliki sisi na hivyo tulivyonavyo kama madini ni vyao na sisi ni mali yao please tujitatambue na tuyafanye tuliyo na mamlaka nayo.
Sawa mkuu umesema yote yana ukweli sana. Ila tambua watanzania tunaimani na raisi wetu pendwa na mtakatifu alituahidi kuwa atatumia hayo madini na rasilimali zetu kutunufaisha sisi masikini na kuwashusha matajiri waishi kama mashetani. Hii ndio serekali ya mwendo kasi. Hapa kasi tu
 
Kwa upande mwingine, kama mtu anaweza kusema hadharani Libya ilikuwa inaongozwa na Sadam Hussein halafu katika kujirekebisha anakosea tena na kusema alikuwa rais wa Quwait!!! mtu huyu anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu zaidi kabla hajaanza kuhudhuria mikutano ya aina hii. Asije akamwabia Netanyahu "ukirudi wasalimie sana wapiga kura wako kule Palestina" (Just kidding)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watanzania walipomchagua Rais Magafuli walitaka kiongozi ambaye ataleta mabadiliko hapa Tanzania kwahiyo hiyo sio lazima ajue lazima viongozi wa Dunia yote. Majuzi mgombea uchaguzi wa Marekani Donald Trumph alishindwa kuu pronounce jina la Tanzania, kwasasa ndio kipenzi cha wapiga kura wa Marekani.
Unaweza ukaleta video hapa nijionee icho kituko?
 
By Abu Hamdy:
''....haiwezekani na ni aibu kwa viongozi wote wa Afrika Mashariki kujikusanya Nairobi ili kukutana na Waziri Mkuu wa Israel..'' Mwisho wa nukuu.

Mbona unaipa promo Nairobi au magazeti na media za Kenya zilikuchanganya manake ziara ya Mh. Benjamin Netanyahu ambaye ni Waziri Mkuu wa Israel, wa-Kenya yalifanya ukiritimba kuishindilia dunia na habari kama vile ziara ile ilikuwa Kenya tu.

Mkutano ule wa viongozi waalikwa wa Kiafrika na Mh. Benjamin Netanyahu walijikusanya Entebbe, nchini Uganda Benjamin Netanyahu marks Entebbe anniversary on Africa tour .

Ila kuhusu awamu hii tano ya serikali ya Tanzania na sera zake za nje hata mimi sina uhakika zipo vipi.
 
Simfananishi na baba wa taifa. Sera zake za nje bado sijazielewa. Naungana nae kutokushiriki huo mkutano.
 
Hivi sera ya mambo ya nje ya Magufuli ni ipi?
Sidhani kama ANA SERA yyt
Atafungua ubalozi wa Tanzania Jerusalem wkt huo huo usishangae akifungua ubalozi wa Tanzania huko WEST BANK Ramallah makao makuu ya P.L.O(Palestina)
 
Tanzania haihitaji chochote kutoka Israel. Ngonja nikuelimishe brother Israel inategemea 85% ya bajeti yake kutoka United State, Hujui Tanzania ni nchi tajiri zaidi ya Israel .
Ni kweli Tanzania ni tajiri zaidi ya Israel kwa UJINGA.
 
Tanzania haihitaji chochote kutoka Israel. Ngonja nikuelimishe brother Israel inategemea 85% ya bajeti yake kutoka United State, Hujui Tanzania ni nchi tajiri zaidi ya Israel .

We nyamaza tu hujui unachoongea.
 
Sidhani kama ANA SERA yyt
Atafungua ubalozi wa Tanzania Jerusalem wkt huo huo usishangae akifungua ubalozi wa Tanzania huko WEST BANK Ramallah makao makuu ya P.L.O(Palestina)

Mabalozi na maafisa wao wanapunguzwa huko walipo.

Sasa sielewi nini maana ya haya anayoyafanya.

Anamuiga Kagame.
 
Tutashtakiwa kwa UCHOCHEZI kaka
Hadi sasa Rais wetu HAJUI lwenye diplomasia afuate kipi
Anyway 2020 sio mbali
 
Kwa maendeleo ya nchi ni mbali. Just imagine as a nation mnapoteza miaka mitano just doing nothing au kuvuruga uchumi.
 
Mm nilimshtukia siku anataja Baraza lake la Mawaziri sababu alituhaidi Baraza adilifu lkn cha ajabu akina Prof Muhongo wakarudi
 
Si ndo aliwakuta? Unategemea jipya hapo? Au mtumpya ndani ya CCM?
 
Back
Top Bottom