Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
Huwezi kukwepa kwamba TZsiyo third country na tunajua kwamba all third countires including TZ zinaendesha bajeti zao kwa misaada ya wahisani. Angalia bajetu yetu ya 2016/17 uone tutaomba hela asilimia ngapi ili mambo yawe sawa??????Kwa tegemezi lenu hilo ndio mmeshazoea kuwa na viongozi wanaozunguka dunia nzima kuomba misaada.
Lazima mtarudi vijijini kulima hakuna mchezo na Hapa Kazi Tu.