Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

Sera ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Rais Magufuli

Ameshafanya ziara Rwanda ya kimataifa na watanzania tutafaidi wataalamu Wa lT na shirika la Ndege . Kuna haja gani kupoteza feza kwena ulaya akati hapo Kigali tuu tunavuna teknolojia ya hali ya juu.
 
Ameshafanya ziara Rwanda ya kimataifa na watanzania tutafaidi wataalamu Wa lT na shirika la Ndege . Kuna haja gani kupoteza feza kwenda ulaya akati hapo Kigali tuu tunavuna teknolojia ya hali ya juu.
 
Kwa upande mwingine, kama mtu anaweza kusema hadharani Libya ilikuwa inaongozwa na Sadam Hussein halafu katika kujirekebisha anakosea tena na kusema alikuwa rais wa Quwait!!! mtu huyu anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu zaidi kabla hajaanza kuhudhuria mikutano ya aina hii. Asije akamwabia Netanyahu "ukirudi wasalimie sana wapiga kura wako kule Palestina" (Just kidding)
Umesoma signature yangu mkuu
 
Umesoma signature yangu mkuu

Hahahaa... wewe naona umeamua kukandamizia kabisa

Ila tunatakiwa kuwa makini na namna tunavyochagua viongozi wetu. Last.month Trump kakosea kidogo kutaja Tanzania akataja Tanzanie, ikawa gumzo balaa. Sasa niambie kama angefanya hiyo classic mix up ya our top man ingekuwaje
 
Ni sahihi, lakini siasa za sasa siyo kama za wakati ule, hivyo ni lazima uangalie kwa makini na kwa mapana faida ya Raisi kuwepo au kutokuwepo kwenye mikusanyiko ya kimataifa kama hiyo. Kimsingi, kwenye mikosanyiko yenye kujenga mahusiano ya kimataifa yenye hadhi ya taasisi ya URAISI si vyema sana yeye akijiweka nyuma au mbali. Nivizuri aende, ajifunze na kushiriki.
Kwenye mikutano kama ile huwa kuna kuwa na collective agreement kitu ambacho huwa ni kibaya sana lkn ukimpeleka mtu wa chini kdg ni rahisi kufanya maamuzi mengine kama hayaifaidishi nchi
 
Kodi mtalipa tu ili mpate Elimu bora sio ya kata and huyo mdudu ujinga uishe kwenye vichwa venu tupate Tanzania mpya ya Wasomi sio mafisadi,wavivu na majizi.
Umemaliza, huo ndio ukweli wa mambo mlizoea 200 ya pool sawa lakini hiyohiyo kulipia huduma za bank nyingi
 
Jumapili ni Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika nchini Rwanda kumtafuta Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika je, ataenda kumkampenia Bernard Membe?
 
Ukiangaalia kwa makini sera ya mambo ya nchi za nje ya Rais Magufuli haitofautiani Na sera za Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, haiwezekani na ni aibu kwa viongozi wote wa Afrika Mashariki kujikusanya Nairobi ili kukutana na Waziri Mkuu wa Israel. Kwa uamuzi wa Rais Magufuli kutohudhuria mkutano huo na badala yake kumtuma Balozi Mahiga l salute you Mheshimiwa Rais Magufuli.
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 80s ulifanyika mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote huko Cancun Mexico, Rais wa Marekani kwa wakati huo Ronald Reagan alioomba kukutana na Mwalimu Nyerere, ilibidi Rais wa Marekani (Superpower Country) amufate Mwalimu Nyerere Hotelini kwake kwa majadiliano. Mheshimiwa Rais Magufuli endeleza sera zako kwa style hiyo ili sera ya nje ya Tanzania irudi katika heshima yake.
Ingekuwa busara ukitupa na matokeo ya sera za Mwalimu Nyerere yalikuwa yapi? Kama unakumbuka miaka ya 80s nadhan utakumbuka na foleni za unga wa Yanga, na yale mahindi yalitoka Marekani. Mkuu sio kila alichofanya nyerere kilikuwa sahihi. Yeye mwenyewe alilijua hilo ndio maana akang'atuka
 
Hivi sera ya mambo ya nje ya Magufuli ni ipi?
Mkuu si umeshaelezwa hapo juu? Sera ni kutokuhudhuria mikutano ya wakuu wa nchi wenzake! Ila waziri wa mambo ya nje atamwakilisha
 
Tanzania ilihudhuria kile kikao. JPM alitamani sana kuhudhuria ila alitingwa na majukumu mengine lakini akaona ateue mtu (Balozi Mahiga) amuwakilishe. So kiitifaki, Tanzania ilihudhuria ule mkutano. Hata hivyo, mtoa post unahitaji kujifunza maana ya neno "sera" hence "sera ya mambo ya nje"
 
Mbona rais aliwakilishwa na nguli wa siasa za nje afrika mashariki na kati Dr mheshimiwa na balozi Augustine Mahiga.huo ndio mgawanyo wa madaraka unaotakiwa sio kila kitu afanye Rais kwa hiyo sioni kama alisusa.
 
Yule na wa Mtera sidhani kama wapo OK upstairs!

Hao ndo think tanks wa CCM.

Ukiwauliza kuhusu VAT ya bank charges inakatwa vipi hawajui.

Kwa vile vichwa sidhani kama kuna uwezekano wa kuelewa hata hiyo mikataba ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom