Ukiangaalia kwa makini sera ya mambo ya nchi za nje ya Rais Magufuli haitofautiani Na sera za Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, haiwezekani na ni aibu kwa viongozi wote wa Afrika Mashariki kujikusanya Nairobi ili kukutana na Waziri Mkuu wa Israel. Kwa uamuzi wa Rais Magufuli kutohudhuria mkutano huo na badala yake kumtuma Balozi Mahiga l salute you Mheshimiwa Rais Magufuli.
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 80s ulifanyika mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote huko Cancun Mexico, Rais wa Marekani kwa wakati huo Ronald Reagan alioomba kukutana na Mwalimu Nyerere, ilibidi Rais wa Marekani (Superpower Country) amufate Mwalimu Nyerere Hotelini kwake kwa majadiliano. Mheshimiwa Rais Magufuli endeleza sera zako kwa style hiyo ili sera ya nje ya Tanzania irudi katika heshima yake.