BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, nina rafiki yangu mchina ameulizia hiyo bidhaa kama inaweza kupatikana nchini. Baada ya ku google nimeona ni kitu kinacho husiana na udongo/ madini, kwa wale wazoefu wa sekta hiyo naombeni ushauri wenu wapi naweza kupata na bei zake zipoje.
Asanteni