makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Sawa chief, ni kawaida watu kutofautianaNajua utamsema Bob Marley, ni kweli ana ngoma kali nyingi na watu wengi wanaamini ndo mkali wa Rege kupata kutokea, ila kwangu mimi Senzo na Dube nyimbo zao huwa zinanitouch sana, nikisikiliza nyimbo za Dube na Senzo nakuwa na feelings fulani hivi ambayo siipati nikimsikiliza Bob