mi nakwambia hili li-serikali la ccm majambazi/mafisadi hata hayafikirii kwa kutumia akili yalizopewa bure na Muumba. yanatumia vichwa kufugia nywele kama lilivyojisifia lile kubwa lao la sheria lile li mura-werema. nadhani yanatumia masaburi kufikiria badala ya kuyatumia kukalia. yapo addicted na nje, everythung nje, nje, nje!!!! hivi hao wa nje wao huwa wanatoa wapi??? badala ya kuimarisha viwanda vidogo vidogo vya ndani, menyewe yamekalia kuwatukuza wa nje tu, ili yachakachue pesa zetu walipa kodi. halafu hivyohivyo viwanda vya ndani ndo vinalipa kodi na menyewe yanajineemesha kwa kuishi maisha ya peponi yakiwa hapahapa duniani.
Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.