SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

Jina langu linatokana na jina steve. Sasa nadhani utakua umeelewa mi jinsia gani! Asanthe.
 
Kuna jamaa jana alifunguka kasema eti anataka amuwowe mkubwa flani hivi herufi ya kwanza inaanza na "I" ila kutokana na sababu za kiusalama sintaweza kumtaja. Ila sio wewe.
Niaje arifu'angu stevoh? Jipambanue hapo juu ulimaanisha nini kwenye hiyo sentenso?
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa jana alifunguka kasema eti anataka amuwowe mkubwa flani hivi herufi ya kwanza inaanza na A ila kutokana na sababu za kiusalama sintaweza kumtaja. Ila sio wewe.

Nimekuridi stevoh! Hata angenitaja me sijali
 
Last edited by a moderator:
Shauri yako watu wana IDs zaidi ya mbili, moja ya kike nyingine ya kiume, utaingizwa chaka mpaka ushangae/hapo umenena mkuu.nimeona hata baba v kaingia na id ya mama v.

Wewe mkiva wewe, sina sababu ya kutumia ID ya kike, Mama v is my wife's ID, kuwa na id zaidi ya moja ni kawaida hapa hasa ukipigwa ban
 
Last edited by a moderator:
Arushaone najua tu dhumuni lako la kuitisha hii rokoo ni ili uendeleze kazi ya Asprin,
sasa hapa lazima utadate na dume lenzio ndo utajua kuwa penzi la kwenye mtandao ni nomaa.

Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…