Sasa hapo kwenye kudhulumiwa sensa inahusika vipi? Huoni kuwa itakuwa imekusaidi kufanya maamuzi sahihi? Kukataa kuhesebiwa hasara yake inakurudia wewe mwenyewe.
wajumbe wengi wa JF ni wakufuata upepo unapovumia hawatumii akili zao kufikiri wao wako kule wanakopelekwa ndiko huenda poleni sana leo munamsapoti kisha akija mtu na mada kama hiyo ya kusapoti sensa nae munamkubalia eee hii kali wapi misimamo yenu wakubwaa
mbona hueleweki mrembo naona we mwari karibu jamviniSame people wanatukana watu kwenye threads zingine kwa kugomea sensa bora vyuo vifunguliwe watoto wapungue jamvin
Mkuu huko hospitali unakozungumzia huduma hazitolewi bure.Ndiyo maana nchi yangu haiendelei. Kama mtoa maada utakuja kuwa kiongozi wa hii nchi, basi tutegemee madudu hayahaya mnayo yalalamikia kwa CCM. Hakuna budget inayopangwa bila kujua catchment population ya eneo husika. Mpango mkakati wa kudhibiti aina fulani ya ugonjwa lazima uzingatie takwimu ya ugonjwa huo ndani ya jamii husika (Disease Prevalence). Uagizwaji wa madawa katika hospitali lazima useme kwa mwaka umehudumia wagonjwa wangapi, na ni ugonjwa gani umewaathiri watu ewngi(hapa takwimu inatakiwa siyo blah blah). Bila sensa(takwimu halisi), tutakuwa tuna panga budget ambayo siyo halisi(realistic), mwisho wake lawama kwa serikali. Kama leo tusipopata idadi ya watu iliyo halisi hauoni hata hao CDM mtawapa wakati mgumu kama watachukuwa nchi 2015? Watapanga nini wakati watu hamtaki kutoa taarifa sahihi zinazosaidia katika maendeleo.?
Tuache ujinga. Kama tatizo ni serikali iliopo, basi tugomee kila huduma inayo tolewa na serikali: Mfano Tugome kwenda kutibiwa hospitali za serikali, Tugome kuweka fedha kwenye taasisi zote za fedha za serikali, Wafanyakazi wagome kufanya kazi na kugoma kupokea mishahara ya serikali dhalimu, Tugome Kupanda vibuko vya serikali (mfano Kigamboni), Tugome kwenda kupeleka mashitaka mahakamani au Polisi, Tugome, Kwawale wanao tumia umeme wa Tanesco nao wote wanyofoe meter zao au service line ili wasitumie umeme wa shirika la serikali,Watoto wetu au wadogo zetu wanopewa mkopo na serikali nao wagome kupokea mikopo hiyo.Tukifanya hivyo serikali hii ndani ya siku 3 itaondoka madarakani maana nguvu ya umma ya kususia huduma zote za serikali itakuwa imefanya kazi. LAKINI kama huduma hizo bado tutaendelea kuzifuata kutoka serikali hii, basi UNAFIKI TUACHE sensa ikifika tujitokeze kuhesabiwa kwa faida ya serikali tunayoitaka kuanzia 2015.
Kama waislamu wangekuja na hoja hizo nne kama zako, hata mie ningevaa kibandiko na makubazi kwenda kuwasikiliza. Lakini wao hoja yao ya msingi ni "sisi wengi" na "wao ni wachache"
Sasa kama wao ni wengi wanatakia nini kipengele cha dini?
1. Ili tuwaajiri.......?
2. Tuwatafutie wake.......?
3. Tuwasaidie waislamu tu walio walemavu........?
4. Tulee watoto wa waislamu tu.......?
Hatuwachukii waislamu isipokuwa tunasema sensa ya waislamu ifanyike misikitini wanakoswali.
acha ubwege wko, we vipi msimamo wa wislmu ni huu, eidh serikali iweke kipengele au km haiwezekani kwa busra zake basi isitishe tkwimu zinazotolew ama na mtu, au tasisi yoyote kwani wamezipata wapi......ach kuropok wewe
Waathiika wa HIV wanapata dawa bure za kuongeza maisha
shule za kata ni bure hakuna ada....
elimu chuo kikuu wanafunzi wanakopeshwa
na mengineeyo meengi ambayo Sensa itasaidia sana

Hapa sasa anayeropoka ni nani baina yangu na wewe?
Sensa ni zoezi ambalo halina faida kabisa kwa watanzania hususani sensa
hii itakayofanyika. Serikali isiyowajali wanchi wake itafanya nini baada ya
kuwahesabu zaidi ya kuwa ni zoezi au njia ya kutengeneza nafasi ya kufisadi
pesa zetu?
Nitakapokujibu sina kazi utaniajiri?
Nitakapokujibu sina mke utaniozesha?
Nikisema kuna mlemavu utanisaidia?
Watoto utawalea....................?
Ajabu! kwa serikali hii hii ambayo memba wengi tumekuwa
tukiilalamikia leo tunaiunga mkono katika zoezi la sensa kwa
faida ya nani?
Tuache unafiki hata kama tunawachukia waislamu ukweli unabaki
pale pale kuwa sensa haina faida kabisa kabisa kwa Watanzania.
Hakuna huduma yoyote itakayoboreshwa na serikali ya CCM eti kwa
sababu ya kuhesabiwa. Wangekuwa wameanza hapo kabla
tungeamini kuwa ni kweli wana nia nzuri.................
Labda hawa wanaounga mkono kuna manufaa wanayapata.
Serikali ya msumbiji inatoa huduma kwa wazee na kusaidia
mambo mbalimbali ya kijamii. Sensa yake inazingatia kuboresha
huduma hizo.
SENSA YETU IMELENGA KUSAIDIA JAMBO GANI?
Mtoa mada umenifanya nitafakari upya, Serikali hii inashindwa
kuboresha hata hospitali zetu, hili halihitaji sensa, Duuh. Madaktari
wanalalamika Hospitali hazina vifaa, Sidhani kama barabara mbovu
nazo zinahitaji Sensa duh ipo kazi.