Huwa sizipendi sana hoja za vijisenti kwa kuwa zimejaa udini lakini kwa leo na kwa muda wacha nimuunge mkono.Waathiika wa HIV wanapata dawa bure za kuongeza maisha
shule za kata ni bure hakuna ada....
elimu chuo kikuu wanafunzi wanakopeshwa
na mengineeyo meengi ambayo Sensa itasaidia sana
Ni we mwenyewe ndo utaamua kwani kuhesabiwa hakuna faida, hasara yake ni kupotezeana muda kama kuna shuguli zitasimama kwa sababu ya zoezi la sensa.aisee! sasa mtoa mada sijui unashaurije,tukatae kuhesabiwa au unalenga kuhamasisha nini hasa.
Kuna faida gani ya kujua idadi ya watu kwenye nyumba yakeMkuu uko sahihi, Ingawa sensa huanzia ngazi ya kaya. Mkuu wa kaya (awe baba au mama) lazima aelewe ana watoto wangapi, hata kama hana uwezo au anao. Kila mpango huenda na takwimu. sasa kama huoni faida za sensa, yawezekana hata huoni faida za kujua idadi ya watu katika kaya yako. (BE POSITIVE)
Hakuna faida ya sensa kwa watawaliwa labda
watawala!
Ndio maana wanahimiza watu wakapime kwa hiyari ili waweWaathiika wa HIV wanapata dawa bure za kuongeza maisha
shule za kata ni bure hakuna ada....
elimu chuo kikuu wanafunzi wanakopeshwa
na mengineeyo meengi ambayo Sensa itasaidia sana
Halafu ukilima unapewa masharti ya jinsi ya kuuza mazaoVijisenti, ajabu wewe unaendekeza unafiki!
Unaposema sensa haina faida, ulitegemea sensa ndio ikupe mke? Ulitegemea sensa ndio ikupe ajira?
Weka unafiki kando, sensa ina faida; kwetu wananchi, vyama vya siasa na watawala.
Takwimu zitakazopatikana zitawasaidia hata wananchi kuzitafsiri na hata kufanya maamuzi kuhusu hali za maisha yao. Mfano, ukijua mkoa fulani una watu wachache zaidi kwa km, ukitaka kulima patafaa.
Sasa hapo kwenye kudhulumiwa sensa inahusika vipi? Huoni kuwa itakuwa imekusaidi kufanya maamuzi sahihi? Kukataa kuhesebiwa hasara yake inakurudia wewe mwenyewe.Halafu ukilima unapewa masharti ya jinsi ya kuuza mazao
yako..... Unadhulumiwa wakati hujasaidiwa pembejeo n.k
Waulize wakulima wakorosho..... huko watu wa sensa wakienda
huwa wanazomewa ktika baadhi ya maeneo.
SENSA NI MUHIMU LAKINI SI KWA SERIKALI YA CCM.
Waathiika wa HIV wanapata dawa bure za kuongeza maisha
shule za kata ni bure hakuna ada....
elimu chuo kikuu wanafunzi wanakopeshwa
na mengineeyo meengi ambayo Sensa itasaidia sana
1. Nitakapokujibu sina kazi utaniajiri?
2. Nitakapokujibu sina mke utaniozesha?
3. Nikisema kuna mlemavu utanisaidia?
4. Watoto utawalea....................?
Tuache unafiki hata kama tunawachukia waislamu ukweli unabaki
pale pale kuwa sensa haina faida kabisa kabisa kwa Watanzania.