Sensa 2012: Yanayojiri

Ni takriban dakika 10 zilizopita nimekuwa na ugeni nyumbani kwangu wa karani wa sensa na imenichukua kama dakika 7 au 8 hivi kukamilisha zoezi zima la kuhesbiwa. Maswali aliyouliza ni watu wangapi wamelala kwenye nyumba usiku wa kuamkia leo, umri wa kila mmoja, elimu yao, je mko katika mfuko wa hifadhi ya jamii au bima ya afya, kuna mlemavu yeyote katika familia, kuna kifo chochote kimetokea kati ya mwaka jana na sasa, kuna ndugu yeyote yuko nje ya nchi? Ni hayo tu, nawasihi wale wanaoogopa na kuhofia mambo kibao wasifanye hivyo maana ni very interesting. I suggest tuwape ushirikiano makarani wa sensa maana takwimu hizi zitatumika kwa miaka 10 mbele hivyo ni muhimu sana. I wish you all the best, week end njema!
 
Bora tuwakatalie kabisa wanatumia majina yetu kuombea misaada halafu misaada yenyewe wanaibinafsisha.bora hata hiyo misaada wangewapa hata masikini basi
 
Watueleze na tulivyonufaika na takwimu walizochukua mika 10 iliyopita.
 
Dakika tisini kwisha! Niece and the gang have invaded my space again, flipping through dvds, selects bunny dvd for viewing. Niece politely remainds me bbc news no good for your health watch more cartoons. Guess wengi wape. Nasubiri makarani wa sensa.
 

kwenye red hapo, hayo maneno yako ama ya kikwete? unazijua taratibu za kufanya tafiti au kukusanya takwimu TZ?
 
Mie najiandaa kubandika bango langu la "Nyumba hii ni ya waislam hatuhesabiwi" ili huyo kalani wenu asijisumbue kufika hata uwani kwangu.

Mkuu hapo hatuangarii mabango Razima utahesabhiwa Thuuu!!
 
Mimi tayari nimehesabiwa vizuri tu, na nyumbani kwangu hapa ndiyo kituo chao.
 
Yako wapi! Mbona Shehe Ponda kahesabiwa. Ni jirani yetu. Kumbe Watanzania maneno tu

Acha unafki mi mwenyewe jirani yangu kagoma kuhesabiwa na mimi nimegoma tuone sasa watanifanya nn?
 
A big week for Hadzabes, free delicious monkey meat and marijuana!!

According to recent records these fellow countrymen number is estimated to be 227 down from 750 as per 1985 census. The growth rate is negative, their survival is under serious threat. The results of this census should be used to develop specific policies to protect them.

Hope all goes well...
 
Watueleze na tulivyonufaika na takwimu walizochukua mika 10 iliyopita.
Subiri 2015 kwenye mikutano ya kampeni ukomae na swali hili...usipopata jibu pigia kura chama kingine. Lakini nina wasiwasi itakapofika 2015 kama kawaida watu wataanza tena kutumiwa na kudanganyana kwenye nyumba zao za ibada na mwisho wa siku mtaipigia tena kura CCM kukikomoa chama kingine kama mlivyofanya 2010. Tukifika 2022 mtaanza tena kulalamika hivyo hivyo hatuoni maendeleo ya miaka 10 iliyopita lakini tukifika 2025 kwenye uchaguzi mtadanganyana zaidi na zaidi kwenye nyumba zenu za ibada na mpaipigia kura tena CCM kukikomoa chama kingine...Mzunguko unaendelea na jinsi siku zinavyokwenda ni hawahawa wanaolalamikia mfumo kristu ndiyo wanaotumika kuirudisha serikali ileile wanayoilalamikia madarakani...
 
Kumbe train inaweza kusimamishwa kwa kupigwa mkono kama gari/bajaj/bodaboda
 
SOMA HAPA CHINI .... wakati nakutafutia kifungu unachovunja..... The Mayor warned them that whoever would not cooperate will be going against the law and may face the consequences, including serving jail terms of up to six months or more.

Hakuna lolote wanaloweza kufanya na askari atakaekuja nikamata atakua mjinga kupita wajinga wote duniani.
 
SOMA HAPA CHINI .... wakati nakutafutia kifungu unachovunja..... The Mayor warned them that whoever would not cooperate will be going against the law and may face the consequences, including serving jail terms of up to six months or more.

...a Tshs 600,000/= Fine or BOTH!
 


Yeah, mkuu, nami pia nilikuwa katika pilika, ilekurudi tu kama dakika 5 zimepita, akaja Karani wa sensa na kama mkuu wa kaya nikashiriki kukamilisha zoezi, binafsi niemona ni fupi na pia liko poa sana. Cha kunishangaza yule karani kaniambia jirani yangu kamwambia kuwa yeye (jirani) kesha hesabiwa na familia yake toka jana! Kweli watanzanaia bado hatujaelimika!
 
Uzalendo umenishinda! I declare sensa unqualified success na wahi kikao. Uncle chakleti please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…