Wasiwasi wangu ni kwamba kuanzia kesho kuna special task ntakua nafanya kutoka job samoja hadi mbili sasa itakuaje??!
ALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.
Kwani kusapoti sensa ndo kusapoti ccm?think ma friend.
Maswali ni haya:Si mbwembwe ni ukarimu tu mama alinifundisha..mi mchaga mkuu.
Kwaiyo wapangaj wenzangu wanaeza kunijibia? Au kaya maana yake ni nini? Wao hawajui kama nna ng'ombe au la..kama nna watoto au la..sasa itakuwaje??!
Pimbi tu wewe UHAMSHO wenzako ndio wa kwanza kuhesabiwa halafu mnakuja kuwadanganya wazaramo huku.soma na fuatilia post za pro cdm utanielewa.
una akili fupi..na ni bora usihesabiwe.
Matola wats ur definition of mtoto mdogo? Huenda ndiye mtoto mdogo mwenye three yrs working experience (kama ww ni mtu mzima utapata approximate age yangu) na utagundua miongo hiyo miwili ya mwanzo hata kama walikuja sikuwa na authority ya kujibu. This time nataka kujijibia mwenyewe...umenielewa sijui??!Maswali ni haya:
1. majina kamili
2. umri
3. elimu
4. kazi yako
5. makazi yako
6. umeowa /umeolew au single
7. una mifugo au huna
8. Uraia
9. sehemu ambayo huwa unaishi zaidi
10. uhusiano wako na huyo atakayetoa maelezo yako.
Haya ndio maswali basic, zingine ni mbwewmbwe tu. by the way unaonekana wewe ni mtoto mdogo kwani hii ndio sensa yako ya kwanza kukuta ukiwa duniani?
Vp yule mungu wa kishkaji anakuja duniani through uk*, kula kwenda choo, kisha kupigwa, akili zake zinazidi mbili?kumbe ni Mungu wenu ndio kawaamuru msusie Sensa!! Hapo ndio nasemaga Mungu wenu lazima apimwe akili na Marehemu Mohamad (RIP) anatuletea mavurugu tu hapa duniani
Siwezi kukuelewa bana, last sensa ilikuwa 2002 sasa kama ulikuwa hujibu mwenyewe maswali sasa ni kwa nini nisiseme wewe ni mtoto? na hiyo miongo miwili inakujaje hapo? miongo ndio decade?Matola wats ur definition of mtoto mdogo? Huenda ndiye mtoto mdogo mwenye three yrs working experience (kama ww ni mtu mzima utapata approximate age yangu) na utagundua miongo hiyo miwili ya mwanzo hata kama walikuja sikuwa na authority ya kujibu. This time nataka kujijibia mwenyewe...umenielewa sijui??!
Siwezi kukuelewa bana, last sensa ilikuwa 2002 sasa kama ulikuwa hujibu mwenyewe maswali sasa ni kwa nini nisiseme wewe ni mtoto? na hiyo miongo miwili inakujaje hapo? miongo ndio decade?
Kama hamtachangamka tutawatawala mpaka siku yenu ya mwisho!nyie leteni sifa za kijinga,Nasikia wengine wanasema eti kuna ruzuku gvt inatoa kwa ajili ya kuendesha taasisi za kidini,kaeni hapo mle mchele na tendeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Nchi hii tunakoelekea tutachapana ngumi, wakristo wangekuwa na akili kama zenu watu wa uamsho kungekuwa hakukaliki lakini kwa mwendo huo itabidi wakristo kama wapo waamke na kulianzisha pia kwasababu mmezidi....huyo mungu wenu nina mashaka naye kama ni mungu wa kweli au la...
Sasa habari za Zanzibar zinatuhusu vipi wabara?
Halafu,iweje kuhesabiwa kwa hao kuwe habari?
kumbe ni Mungu wenu ndio kawaamuru msusie Sensa!! Hapo ndio nasemaga Mungu wenu lazima apimwe akili na Marehemu Mohamad (RIP) anatuletea mavurugu tu hapa duniani