Sensa 2012: Yanayojiri

Hawa jamaa tumewasaidia elimu hawataki wanataka kadhi na futari haya twende kaz ipo.
 

acha unafki wewe.. Umefadhaika nin sasa.
 
Sio sifa ni upuuzi. Utakiona utakapokosa hati ya uraia. Mnaiaibisha Dini yenu tu
 
Haki itashinda kesho, kama leo haitoshi. Haki haigopi tisho, wala nguvu za majeshi . La uongo lina mwisho, namna tunavyoishi. INSHALLAH!
 
Mimi nikisoma hiyo message yako ya mwishoni kwenye red hapo napata shaka.Ngoja tuone mwisho wake
 
Msemo wa kila mtu ataonja mauti mnaukosea,pia nina uhakika huyo unae muabudu hajapendezwa na ulichofanya kwa taarifa yako hujamkomoa yeyote yule pili wapo wengi wamehesabiwa so wewe huta affect chochote
 


Mkuu usife moyo ilimradi hukuwa na nia mbaya utahesabiwa tu, hata mimi kwangu hawajafika mpaka mida hii na nasubiri kama wewe
 

Mbwembwe zote za nini hizi? ni nani alyekwambia anafuata chai kwako? sensa si lazima uwepo nyumbani mimi nilikuwa peke yangu nyumbani lakini kaya yangu wote wamehesabiwa ni mimi ndio nilikuwa natowa maelezo yao. au wewe ni muhaya?
 
mashallah, hongera sana.
ALLAH akuzidishie kheri.
Tuko pamoja ndugu yangu.
Dhulma tunayofanyiwa itakwisha karibuni, tuendelee kupambana.
 
You worship Mohammed, and you call yourself a moslem. To me you sound the most stupid idiot for denying census,... lol, ignorance is the best enemy.

Ni kweli huelewi? au ni athari ya damu ya yesu inayotengenezwa Ilala?
 
mashallah, hongera sana.
ALLAH akuzidishie kheri.
Tuko pamoja ndugu yangu.
Dhulma tunayofanyiwa itakwisha karibuni, tuendelee kupambana.
Gomeeni na katiba mpya marufuku upuuzi wa mahakama ya kadhi
 
Haki itashinda kesho, kama leo haitoshi. Haki haigopi tisho, wala nguvu za majeshi . La uongo lina mwisho, namna tunavyoishi. INSHALLAH!

umenena vyema sana, haki itashinda tu Inshaalah na kuiondoa dhuluma hata kama itachukua muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…