ngoja tuone kwa taarifa ya habari badae.
Mkuu Katavi, mimi nipo safarini kikazi na wamekuja hoteli saa 8 usiku wakitaka wote tubesabiwe na waingie vyumbani wakati wahudumu Wa hoteli walipatiwa form kuandikisha waliolala hapo siku leo. Duh!!!
Zoezi ndiyo limeanza leo. Vuta subira...Mpaka sasa, idadi kubwa ya waislamu wamegoma laivu bila kujificha. Msikubali kudanganywa. Watu wengi nilio ongea nao wameniambia wamekataa kuandikishwa. Nimeaongea na mwandishi mmoja wa sensa akaniambia hali ni tete serekali imekula hasara kwa kiburi chao. Tunasubiri mswada bungeni wa kutokua na imani na rahisi. Tuchague raisi mwengine.
ngoja tuone kwa taarifa ya habari badae.
Kwani zoezi la sensa linamalizika lini?? mi najua kuhesabu watu ni siku moja au????Zoezi ndiyo limeanza leo. Vuta subira...
Mie najiandaa kubandika bango langu la "Nyumba hii ni ya waislam hatuhesabiwi" ili huyo kalani wenu asijisumbue kufika hata uwani kwangu.
Linamalizika siku saba. Mimi nmeshahesabiwa ila kuna jirani zangu wengine hawajahesabiwa kwa sababu walikuwa hawapo. Ila jamaa wamesema watarudi tena. Ndiyo maana nasema tuvute subira...Kwani zoezi la sensa linamalizika lini?? mi najua kuhesabu watu ni siku moja au????