Senene waua mtu Kagera

Kuua mtu inawezekana,ila kuangusha miti na nguzo za umeme ni kachumbali inayopoteza mashiko ya taalifa nzima.
 
inawezekana wakubwa kama chopa ilioanguka juzi tatizo mabwenga kwa kamba hawawezekani.
 
Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.

Hali ilivyo kwa sasa, wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.

Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba, kutokana wingi wa wadudu hawa, Tanesco mkoani humo, ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao, baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.

Chanzo cha taarifa tafadhali.
 
Back
Top Bottom