Senegal's Karim Wade jailed for corruption

Senegal's Karim Wade jailed for corruption

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,464
_81844940_67074271.jpg

Karim Wade was an influential figure in his father's government

A court in Senegal has sentenced the son of former President Abdoulaye Wade to six years in prison for corruption.

Karim Wade was also fined $230m (£150m) for illegal enrichment during his father's 12-year rule.

He was chosen at the weekend as the presidential candidate of the main opposition party, the PDS.

President Macky Sall warned last week that his government would not tolerate any attempt to destabilise Senegal after the court gave its verdict.
Mr Sall defeated Abdoulaye Wade in fiercely contested elections in 2012.

Karim Wade was accused of illegally amassing about $1.4bn and has been in detention since April 2013.

Judge Henri Gregoire Diop said he had hidden away funds in offshore companies in the British Virgin Islands and Panama, Reuters news agency reports.

"The facts before us constitute illicit enrichment by Karim Wade," the judge is quoted as saying.

Opposition supporters inside the courtroom shouted in protest, denouncing the verdict as "shameful".

Wade was a senior minister in his father's government, and was in charge of major infrastructure and energy projects.

His large portfolio led to him being dubbed "the minister of the earth and the sky".

His arrest came after the new government vowed to tackle corruption.

Source: BBC
 
Kaka Manyerere Jackton umemkusudia nani hasa katika huu uzi?
Tafadhali mtaje wazi wazi tumfahamu, hii ni JF "where we dare to talk openly".
 
Last edited by a moderator:
Tanzania orodha yao ni ndefu.. Uzuri wake hapa kwetu ni suala la muda tu, wala si suala la kutafuta ushahidi. Viongozi wa Tanzania pamoja na watoto wao ushahidi wa wizi na ufisadi walioufanya na wanaoendelea kufanya uko wazi tena kweupe..

Ni suala la muda tu,,, Tukipata kiongozi mwenye uchungu wa nchi yetu lazima wafilisiwe na kufungwa, kama si wao basi watoto ua watoto wa watoto wao watalipa dhambi zilizofanywa ama na baba au baba wa baba zao.

Haiingi akilini FISADI/ JAMBAZI MKUU, Nyoka mwenye Makengeza eti ndiyo anatuandikia Katiba.. Huu ni usanii mtupu na dhihaka kwetu watanzania.
 
Naona kama kuna mazingira ya kisiasa kwa kweli!!
 
Mbona tukifuata haki kweli magereza yatajaa!

Hapa Tanzania ukiona kila mbongo anakimbilia kugombea ubunge, ujue kuna ulaji tena wa hatari.
 
Haki bin haki mambo ndio yanasonga mbele na hakuna atakayethubutu kuvuta rushwa tena! Sasa Katiba pendekezwa imetungwa na mafisadi aka walioko chama tawala halafu tunaambiwa tukaipigie kura kweli hii haingii akilini. Nikapige kura ya kumlinda fisadi wakati wananchi wanateseka kiasi hiki?
Uongozi mpya uje mafisadi wote wapewe haki yao kama huyo MH wa Senegal!
 
Karim Wade, mtoto was rais wa zamani wa Senegal, Abdoulaye Wade kawekwa lupango miaka 6 kwa ufisadi. Uhalifu huo ulifanyika chini ya mwavuli wa, na kulindwa na baba yake wakati akiwa madarakani. Hili ni fundisho kwa jamaa fulani hapa kwetu pia.
 
cc to Ridhiwani Kikwete

Huyo ni maskini tu kama wengine, tatizo lenu mnachanganya mtu kuwa mtoto wa rais na utajiri, Ridhiwani hawezi kuwa na utajiri mnaodhani anao. Ni mtu mwenye kipato cha kati na si mabilioni mnayozusha anayo, mkimfahamu kwa karibu ndio mtajua kuwa mnamuonea labda mseme mengine lakini si utajiri.
 
JF - where we dare talk openly mtaje tu kuwa ni Riz moko
 
Huyo ni maskini tu kama wengine, tatizo lenu mnachanganya mtu kuwa mtoto wa rais na utajiri, Ridhiwani hawezi kuwa na utajiri mnaodhani anao. Ni mtu mwenye kipato cha kati na si mabilioni mnayozusha anayo, mkimfahamu kwa karibu ndio mtajua kuwa mnamuonea labda mseme mengine lakini si utajiri.

Ni masikini ukimlinganisha na Chenge.
 
Maraisi wanaingia Ikulu Masikini wanatoka Mabilionea na Familia zao.
 
Dahhh!!!! naomba itokee na kwetu huku maana kuna jamaa mtoto wa mkuuuuuuu anafanya yakeee////
 
Huyo ni maskini tu kama wengine, tatizo lenu mnachanganya mtu kuwa mtoto wa rais na utajiri, Ridhiwani hawezi kuwa na utajiri mnaodhani anao. Ni mtu mwenye kipato cha kati na si mabilioni mnayozusha anayo, mkimfahamu kwa karibu ndio mtajua kuwa mnamuonea labda mseme mengine lakini si utajiri.

Hata ukimtetea vipi huyu kijana ndio njia anayotumia baba yake kuliibia Taifa hivyo sintashangaa kama yatakuja kumpata kama yaliyompata huyo wa Senegal!!! Atie maji nywele zake wakati wenzie wananyolewa!!
 
Back
Top Bottom