Semina ya walimu wiki nzima wanapewa laki tatu, hii sio Sawa

Hebu jithamini yani hata kama una shida kataa dharau, kuna semina zinaendeshwa mikoa yote Kwa Sasa walimu wa sayansi tu wanapewa pesa ndogo sana.

Semina ya wiki nzima wanapewa laki tatu hii sio Sawa tuwe na huruma, kama umasikin basi chanzo ni viongozi kumbuka huyu mwalimu analala hotelini tena gest za hovyo zenye kunguni analipia chumba, anajilisha jioni halafu mnampa laki Tatu sijui itafanya kazi gani.

Mwalimu unaenda kusahisha mitihani zaidi ya wiki mbili at the end unapewa laki tano, walimu jikubalini inabidi usisaini mkataba wa kusaisha au semina kama malipo hayafiki million moja kwa siku ulizokaa maana chini ya hapo utapoteza mda wako tena mbaya zaidi viongozi wanakuandikia umepewa pesaa million kumbe umepewa laki tatu

WALIMU UNGANENI

WALIMU PENDANENI
hafadhari 300,000/kuliko chupa za maji wakati wa magu
 
mpwayungu village naomba nikukosoe kidogo; hakuna semina mwl analipwa laki 3 kwa wiki.

Huwa hazidi 10,000-15,000 kwa siku. Hiyo pesa ndio humo humo chakula cha jioni na malazi. Hapo walimu wengine wametoka vijijini kwa nauli zao, wale jioni na walale kwa 10,000 au 15,000.

Asubuhi umepewa maji, andazi 1, kiazi 1 na chai. Mchana wali, nyama na maji/soda.

Ni dharau ya hali ya juu walimu wanatendewa.

Semina zenyewe kwa mwaka hazizidi 3.
zama hizi au zamwenda zake?
 
Binafsi mimi pia ni mwalimu sijawahi kuona chochote kibaya unachokizungumza kuhusu Mwalimu. Tatizo letu kubwa ni woga na usaliti vinavyotutawala. Unayoyasema ni sahihi kwa asilimia 100/ hatuna wa kutusemea cwt wamebaki kuwa chama cha wavuta tumbaku si cha kumtetea mwalimu. Walimu hatuwezi kuungana kupinga dhuruma tunazofanyiwa. Wakandamizaji wa kwanza wa mwalimu ni wakuu wa shule wakikaa kwenye vikao vyao jambo la kwanza wanalolifanya ni kumthibiti mwalimu ili asifurukute, achilia mbali uonevu unaofanywa na maboss wa halmashauri hadi watu wa masijara wana sauti dhidi yetu. Posho tunazolipwa tunaona ni hisani kumbe tunastahili kupata zaidi lakini bado hatushituki. Ukiongezea na mishahara midogo tunajikuta na rundo la madeni hadi mtaani heshima inapotea. Zidi kutusema labda siku moja utasaidia kuamsha hisia za mwalimu kujipenda na kujithamini ataanza kudai haki zake.
 
Hebu jithamini yani hata kama una shida kataa dharau, kuna semina zinaendeshwa mikoa yote Kwa Sasa walimu wa sayansi tu wanapewa pesa ndogo sana.

Semina ya wiki nzima wanapewa laki tatu hii sio Sawa tuwe na huruma, kama umasikin basi chanzo ni viongozi kumbuka huyu mwalimu analala hotelini tena gest za hovyo zenye kunguni analipia chumba, anajilisha jioni halafu mnampa laki Tatu sijui itafanya kazi gani.

Mwalimu unaenda kusahisha mitihani zaidi ya wiki mbili at the end unapewa laki tano, walimu jikubalini inabidi usisaini mkataba wa kusaisha au semina kama malipo hayafiki million moja kwa siku ulizokaa maana chini ya hapo utapoteza mda wako tena mbaya zaidi viongozi wanakuandikia umepewa pesaa million kumbe umepewa laki tatu

WALIMU UNGANENI

WALIMU PENDANENI
Tatizo hiyo laki tatu wenzio wanaiona kama milioni 100
 
Ahsee kweli kabisa mkuu, yani walimu ni waoga buuuuuu hadi nakereka
 
Hebu jithamini yani hata kama una shida kataa dharau, kuna semina zinaendeshwa mikoa yote Kwa Sasa walimu wa sayansi tu wanapewa pesa ndogo sana.

Semina ya wiki nzima wanapewa laki tatu hii sio Sawa tuwe na huruma, kama umasikin basi chanzo ni viongozi kumbuka huyu mwalimu analala hotelini tena gest za hovyo zenye kunguni analipia chumba, anajilisha jioni halafu mnampa laki Tatu sijui itafanya kazi gani.

Mwalimu unaenda kusahisha mitihani zaidi ya wiki mbili at the end unapewa laki tano, walimu jikubalini inabidi usisaini mkataba wa kusaisha au semina kama malipo hayafiki million moja kwa siku ulizokaa maana chini ya hapo utapoteza mda wako tena mbaya zaidi viongozi wanakuandikia umepewa pesaa million kumbe umepewa laki tatu

WALIMU UNGANENI

WALIMU PENDANENI
Labda ni full board mwl mpwayungu
 
mpwayungu village naomba nikukosoe kidogo; hakuna semina mwl analipwa laki 3 kwa wiki.

Huwa hazidi 10,000-15,000 kwa siku. Hiyo pesa ndio humo humo chakula cha jioni na malazi. Hapo walimu wengine wametoka vijijini kwa nauli zao, wale jioni na walale kwa 10,000 au 15,000.

Asubuhi umepewa maji, andazi 1, kiazi 1 na chai. Mchana wali, nyama na maji/soda.

Ni dharau ya hali ya juu walimu wanatendewa.

Semina zenyewe kwa mwaka hazizidi 3.
Kuna semina ya mtaala mpya kwa walimu wa sayansi wa mkoa wangu ilifanyika mwanza wiki mbili zilizopita ambapo wenye tgts c na D E na F walikua wakilipwa 80,000 per day huku wenye tgts G na kuendelea wakilipwa 120,000 na kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mimi pia ni mwalimu sijawahi kuona chochote kibaya unachokizungumza kuhusu Mwalimu. Tatizo letu kubwa ni woga na usaliti vinavyotutawala. Unayoyasema ni sahihi kwa asilimia 100/ hatuna wa kutusemea cwt wamebaki kuwa chama cha wavuta tumbaku si cha kumtetea mwalimu. Walimu hatuwezi kuungana kupinga dhuruma tunazofanyiwa. Wakandamizaji wa kwanza wa mwalimu ni wakuu wa shule wakikaa kwenye vikao vyao jambo la kwanza wanalolifanya ni kumthibiti mwalimu ili asifurukute, achilia mbali uonevu unaofanywa na maboss wa halmashauri hadi watu wa masijara wana sauti dhidi yetu. Posho tunazolipwa tunaona ni hisani kumbe tunastahili kupata zaidi lakini bado hatushituki. Ukiongezea na mishahara midogo tunajikuta na rundo la madeni hadi mtaani heshima inapotea. Zidi kutusema labda siku moja utasaidia kuamsha hisia za mwalimu kujipenda na kujithamini ataanza kudai haki zake.
Huwa nashangaa nikimuona mwalimu kada wa CCM Huwa najiuliza hawa watu vip!?
 
Back
Top Bottom