Mwalim sio kilema, Mwalimu sio wa kusemewa Kama kundi lile la "Tukiwezeshwa tunaweza"
Nyerere amewahi sema " watu wenye Nguvu wanashirikiana kumkabiri mdhaifu, Ila Sisi wadhaifu hatushirikiani kumkabiri mwenye Nguvu" sasa tatizo ni wale Wana isi TATIZO Wakati wenye TATIZO wametulia, Nadhan walimu ni wajuaji Kia's kwamba wanadharau kila kitu mpaka kusahau nguvu yao. Wamekuwa kundi la kusalitiwa na kizaz walichokifundisha na kujipa MAARIFA, wamekuwa yatima kwa kujinyonga wenyewe kisaikolojia, wamekimbiria kuomba maji ya baraka na maji muwa kujisafisha, hata uwezo wako Binafs umepotea mpaka nuru zao binafsi. Naamin nature ya BINADAMU ilivyo AKIBANWA SANA Kiasi ambacho anaioona kaburi ATAPATA NJIA. natafuta wa kumlaumu anayekula maslah ya Walimu simuoni.
Nashauri wanafunzi vyuoni kote ama ndani au nje ya nchi wanasoma kozi za elimu na uongoz waanzishe harakati za kudai kutoridhishwa na NAFASI YA Walimu katika JAMII wasimame kama WASOMI wapambane kuieshimisha TAALUMA hii. Uone kama mambo hayatabadirika. Bahat mbaya WALIMU walionifundisha wengi na wastaafu Ila walikuwa IMARA haswa Niko kidato cha pili naanza kujengewa isia za unyanyapaaji wa ualimu na kundi lenye Sura ya umaskini.
View attachment 2531028View attachment 2531030