Hebu jithamini yani hata kama una shida kataa dharau, Kuna semina zinaendeshwa mikoa yote Kwa Sasa walimu wa sayansi tu wanapewa pesa ndogo sana. Semina ya wiki nzima wanapewa laki Tatu hii sio Sawa tuwe na huruma, kama umasikin basi chanzo ni viongozi kumbuka huyu mwalimu analala hotelini tena gest za hovyo zenye kunguni analipia chumba, anajilisha jioni halafu mnampa laki Tatu sijui itafanya kazi gn
Mwalimu unaenda kusahisha mitihani zaidi ya wiki mbili at end unapewa laki tano, walimu jikubalini inabidi usisaini mkataba wa kusaisha au semina kama malipo hayafiki million moja Kwa siku ulizokaa maana chini ya hapo utapoteza mda wako tena mbaya zaidi viongozi wanakuandikia umepewa pesaa million kumbe umepewa laki Tatu
WALIMU UNGANENI
WALIMU PENDANENI