Semina ya walimu wiki nzima wanapewa laki tatu, hii sio Sawa

Semina ya walimu wiki nzima wanapewa laki tatu, hii sio Sawa

Nilikuwa namjibu yule aliyekuwa anasema kuna per diem. Huko Mwanza ni jiji, afuatilie wanalipwa TSH kwa siku!

Kuhusu kwa nini hawalipwi per diem kama inavyotakiwa, waulizwe CWT na TUCTA
Hawawez kuuliza wanaogopa
 
Semina ya wiki nzima wanapewa laki tatu hii sio Sawa tuwe na huruma, kama umasikin basi chanzo ni viongozi kumbuka huyu mwalimu analala hotelini tena gest za hovyo zenye kunguni analipia chumba, anajilisha jioni halafu mnampa laki Tatu sijui itafanya kazi gani.
Ndani ya kazi hiyohiyo, facilitators wanalipwa 200000 kwa siku
 
Kuna nyingine ilifanyika katika mkoa mmoja wenye kusifika kuwa una shule nyingi tangu miaka mingi iliyopita, walimu walikuwa wanalipwa nusu ya mishahara yao wanayopwa mbali na posho ya siku kwa ajili ya usafiri na malazi. Chai na chakula cha mchana ilikuwa ikiletwa kwa order ya waendesha semina
 
Nilishafanya research case study ilikua ni watumishi wa umma hususan walimu, wakati nakusanya data taarifa nilizozokusanya no dhahiri walimu wanapungukiwa na mengi katika utendaji wao wa kazi unaeza ingiwa na huzuni kubwa Researcher mambo hayapo sawa kuanzia stahiki zao,hawana motivation kabisa ya kazi ni bora liende kwanini wasiwe kama kada zingine
 
Yani Hawa watu nikama wametelekezwa mkuu
 
Back
Top Bottom