Semina elekezi ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina elekezi ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ringo Edmund, May 22, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NAOMBA MWENYE KUJUA MAANA YA SEMINA ELEKEZI ATUSAIDE MAANA WATANZANIA WENGI TUMEBAKI GIZANI.
  1.NI KWA MUJIBU WA KATIBA?
  2.JE BUNGE LIMEIDHINISHA BAJETI YAKE?
  3.ILIANZIA AWAMU IPI?
  4.MPAKA SASA IMEONYESHA MAFANIKIA GANI?
  5.YANAYOFUNDISHWA HUKO NDIYO MATOKEO YA TUNAYOYASHUHUDIA KWA WATENDAJI WA UMA SASA?
  6.WALE WATANZANIA WALIOKUWA WAADILIFU BILA SEMINA ELEKEZI WALIISHA?
  7.KAMA NI LAZIMA KWA NINI ISIINGIZWE KWENYE MITAALA YA VYUO ILI KILA MTANZANIA AWEZE KUIPATA?

  majibu yake yatatusaidia kuwapima waliotoka darasani.
   
Loading...