Sema watoto wa sikuizi

Sema watoto wa sikuizi

Watu wazima ambao hawajaoa inabidi wapigwe marufuku kuishi na mahouse girl,.
Wanaharibu watoto
Huyo mtoto kama ana wazazi/Walezi au waangalizi,basi wao ndio wana makosa,

Mtoto wako lazima uhakikishe usalama wake kwanza au anaenda kufanya kazi kwa nani kabla hujamkabidhi mwanao,

Naonga mkono hoja ya kwamba kuwe na sheria ya Mwanaume kama hajaoa basi asiruhusiwe kuajiri House girl,

Dkt. Gwajima D anaweza kusaidia kwenye hili.
 
Hello Jf members👋

Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada Ake,. Asa sijui hawakuongea au ilikuwaje mpaka wakachat ana asifute..

Inaonekana hapa ni mwanaume anazungumziwa🤔,. Lakini mbona huyu binti umri wake ni mdogo Sana Kwa haya mazungumzo?,. Maana ni Form four leaver WA mwaka Jana..
Naomba Tu anasezungumziwa asiwe ni boss wake ( Huyu binti ni house help WA mpangaji wetu hapa ) ,.Maana Huyu jamaa mwaka WA tatu hapa anaishi mwenywe na Hana familia lakini sidhani kama Yuko single Kwa makamo Yake inaonekana labda pengine familia Yake iko mbali ... Huyu binti ni mdogo Sana Kwa huyu jamaa

Mungu saidia asiwe huyu mtoto mbona kama ana balaa,. Sasa ujambazi gani? Au anataka kumwibia? Au Mimi Tu ndio Nina mawazo ya kimbea ?,. Au nyie mnaonaje pengine naweza fanya kitu au niache Tu?
Sasa mambo ya madeni yeye anahusika vp mkuu, inashangaza sana
 
Back
Top Bottom